Dakika 45 ITV: Malecela amesema mpaka wa ziwa nyasa upande wa Tanzania uliwekwa na magavana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dakika 45 ITV: Malecela amesema mpaka wa ziwa nyasa upande wa Tanzania uliwekwa na magavana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tenende, Sep 17, 2012.

 1. t

  tenende JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mzee John Malecela inavyoelekea hajui mkataba wa 1890 kati ya waingereza na wajerumani. Amesema awali mkataba ulikuwa katikati ya Ziwa. Baadaye mpaka ulihamishiwa upande wa Tanzania na magavana wa kikoloni. Kimsingi hoja nyingine yuko sahihi.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Hakuongelea kwanini alilikubali AZIMIO LA ZANZIBAR ?

  Sababu tunataka kujua benefit's zake ni zipi? Au ndio tumedondoka kabisa?
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna ramani za mpaka nje ya ziwa zilikuwa zinawekwa hadi maofisini kwa viongozi.
   
 4. t

  tenende JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Suala hili hawezi kuzungumzia mpaka aulizwe. Wiki ijayo ataendelea lakini sidhani kama Semunyu ameona umuhimu wake!
   
 5. B

  Bubona JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa hajui historia vizuri au anataka kupotosha!!!!
   
Loading...