Wenje katafuna pesa za madawati - Matata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenje katafuna pesa za madawati - Matata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Sep 17, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Akiongea na kituo cha Metro fm asubuhi ya leo jijini Mwanza, Matata anamtuhumu wenje kutafuna michango ya madawati iliyopatikana viwanja vya sahara katika harambee iliyohudhuriwa na mtoto wa Raila na kupatikana zaidi ya ml 70.

  My take:
  Kwanini asiseme haya kabla ya kufukuzwa na pia yeye na diwani wa Igoma walichanga zaidi ya 17ml mbona hawajatoa mrejesho?
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  This type of thinking inaturudisha sana nyuma...
   
 3. K

  KIBE JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kazi mnayo chadema...... 2015 majimbo mengi yenye wabunge wa chadema hakuna kitu ....
   
 4. S

  STIDE JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndugu Matata,

  Tukikusamehe na kukurudisha ndani ya chama 'utafuta kauli yako!!?'

  "Umemwaga ugali namwaga mboga" kauli hii mara nyingi huwa haifanyi kazi kwenye siasa, maana huitwa "siasa za maji taka"
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona kawaida tu, hakupata mgao, huu ndio wakati muafaka wa kuzungumza. Mwaga mboga nimwage ugali bhaaas
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Too childish!
  Kwani cdm haina auditors, au haiwi externally audited?...au tusubiri wanaofukuzwa ndio watujuze?
  Hopeless sana!
   
 7. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 2,169
  Trophy Points: 280
  hawa chadema hamna lolote hata huyo diwani usikute na yeye yumo.najuta kura yangu kumpa wenje.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Angekuwa na akili angeyasema hayo kabla hajatimuliwa.
  Yeye alipokea mlungula toka ccm na aliwahi kubanwa mbavu na vijana wa Chadema kijiwe fulani maarufu pale mwanza akawagawia kidogo ili kuua soo. Kama hiyo haitoshi kwenye kamati kuu alipobanwa kuhusu fedha hizo alizokuwa anawagawia vijana kijiweni alishindwa kuzitolea maelezo.
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Basi wewe utakuwa ni mzimu kwakuwa kila mbunge wa Chadema unadai ulimpigia kura. Umekuwa unadai kumpigia kura Mnyika, mara uhamie kwa Mdee na sasa umehamia kwa Wenje.
   
 10. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  wana Chadema tusipoteze mdaa kumjadili mtu kama huyu alikuwa na mda wa kuyasema hakusema hii nitatizo la kukosa .Tufanye kama tulivyompotezea mzee wetu Shibuda muacheni apayuke mwenyewe kama mwendaa wazimu.
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  1. Swala hili lichunguzwe kwa makini na viongozi wa chadema kama ni kweli Wenje achukuliwe hatua avuliwe uanachama na kufikishwa mbele ya Pilato kujibu tuhuma hizo!kama sio ukweli basi huyu Matata atiwe matatani kwa kumkashifu na kumchafua mheshimiwa mbunge.

  2.Wengine wanauliza ni kwa nn amesema sasa hv wakati amevuliwa uanachama, nakubaliana nao kwa kiasi huenda zikawa fitina na siasa za maji taka, lakini bado huwa ninaamini kuna watu wana tendency ya kusema ukweli na kutoa siri pale wanapokasirika above the limit au wanapokuwa wamelewa, so ni bora likachunguzwa ukweli ujulikane!!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Awahi kadi ya Magamba fast
   
 13. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wenje ni muhasibu au mwekahazina
   
 14. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  ukiwa na nyege za kisiasa unaweza kuropoka yoyote
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ile habari ya TUNTEMEKE mmeshaihakiki?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Tuhuma alizotoa huyu jamaa ni nzito.Chadema inabidi wazichunguze na sio kumchukulia huyu jamaa ni "mfa maji...."
   
 17. T

  Tenths Senior Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakuna sababu ya kuchunguza ***** kama huu.
   
 18. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo anataka kusema kuwa wenje hili ndilo walitofautiana naye? halafu wenje huko mwanza yeye ni cashier kwamba hata fedha za harambee ya jimbo lazima azishike yeye hawa akina matata na chagulani naona kama wanazidi kujipka matope bora hata wangekaa kimya wala wenje hana time nao ikibidi wangeendelea kuunga chama mkono na si kuchefua kwa kasi kiasi hiki walllah hawajui ha wa wanakoenda
   
 19. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 2,169
  Trophy Points: 280
  basi na ww utakuwa mwehu kwa sababu sijawahi kudai nimempigia mdehe wala huyo mnyika kwanza hata siyajui majimbo yao nawasikiaga tu.
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Judas..thats what he is
   
Loading...