CUF: Wapi tamko la Katibu Mkuu Maalim Seif kuhusu vurugu na ukiukwaji katika uchaguzi Bububu"

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hadi sasa hakuna tamko lolote kuhusu yaliyojiri katika uchaguzi wa Uwakilishi jimbo la Bububu ambapo mgombea wa CCM alishinda, mbali na kulalamika kwa mgombea wa CUF kwamba uchaguzi haukuwa wa haki, hatambui matokeo na atakata rufaa.

Jee viongozi wa chama chake hususan mtendaji mkuu -- Katibu Mkuu Maalim Seif wanasemaje kuhusu malalamiko yake? Au wao wameridhika?

CUF angalieni sana haya mambo
-- itakuwa vigumu sana kukubalika kwamba nacho ni chama cha upinzani. Seriously!
 
Tulishasema mara nyingi humu ndani waacheni wanandoa na mambo yao.
 
...huo uchaguzi ulikuwa ni maigizo au niseme kiini macho tu...kipi ni chama tawala na ni-kipi chama cha upinzani Zanzibar kati ya CCM-A na CUF-CCM B...mapanya ni mapanya tu,mi sijui lipi ni dume na lipi ni jike...hapa yalikuwa mapanya mawili yangombea kipande cha mkate...
 
Siku ya uchaguzi kunakua navurugu hadi watu kuuwawa?
Sijawahi kuona hii, na watu wamenyamza. Au kuuana ni tabia yao, yani tabia ya wanandoa, hakuna wa kumlaumu mwenzie.
 
Back
Top Bottom