Matembezi makubwa ya kuchangia CUF kufanyika kesho.

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
chama cha makabwela chama cha wanainchi CUF kesho kitafanya matembezi makubwa yatakayoanzia Buguruni shell na kuishia viwanja vya Jangwani, lengo ni kukusanya zaidi ya sh 1bln kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF. Hakiiiii
 
Siku ya mkutano walikuwa wapi wasichangishe?! Hayo matembezi ya kesho wanachangisha kila wanaye mkuta njiani anapita au watakuwa na utaratibu gani maalumu?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
chama cha makabwela chama cha wanainchi CUF kesho kitafanya matembezi makubwa yatakayoanzia Buguruni shell na kuishia viwanja vya Jangwani, lengo ni kukusanya zaidi ya sh 1bln kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF. Hakiiiii

Nao wanataka kusafisha pesa chafu?
 
Kuchangia wafu? Sijawahi ona, labda Sanda na jeneza . Hizo hajiitaji 1bn ni malaki kadhaa tu ambayo hata wenyewe mnaweza kununuwa
 
yale majamaa ya Mwangosi yatafanyaje kesho? Lakini kwa kuwa hayajui vizuri kiswahili yanaweza yakae kimya yakidhani kuwa matembezi si maandamano.
 
kwa nini hamkutaka kuja huku ubungo(mandela road) kwa makabwela wenzenu tuwachangie? mkaamua kupita kwa wadosho tu hadi jangwani hebu badilisherni hiyo ruti
 
cuf ichangiwe wakati ina uhakika wa maisha toka kwa mume magamba? acheni utani jamani. ichangiwe halafu what next?
 
kwa nini hamkutaka kuja huku ubungo(mandela road) kwa makabwela wenzenu tuwachangie? mkaamua kupita kwa wadosho tu hadi jangwani hebu badilisherni hiyo ruti

mkuu usiwe na wasiwasi wewe lete shilingi mia yako jangwani hiki ni chama makabwela, wale waliomchangia thumni kambarage wakamnunulia suruali na shati, ndio hawa leo wanamchangia Prof Lipumba kuanza safari ya kutafuta ukombozi wa pili.
 
Mwaka wa ishirini huyu sultani akililia kwenda Ikulu hata haya hana. Angekuwa mwingine angalau ningefikiria lakini huyu au Seif ni BIG NO! Kama ana busara, aachie wengine; wasikigeuze Chama mradi wao.

CUF ina watu wengi tu wazuri ambao wanaweza kukiwakilisha chama katika nafasi ya urais wa JMT kama akina Habib Mnyaa (Mkanyageni), Magdalena Sakaya (Viti Maalum), Salum Barwani (Lindi Mjini), Jusa Ladhu (Mji Mkongwe), n.k.; huyu Prof. ni total failure katika medani ya siasa.
 
Chadomo bwana!!!!!?

mwaka wa ishirini huyu sultani akililia kwenda ikulu hata haya hana. Angekuwa mwingine angalau ningefikiria lakini huyu ni big no! Kama ana busara, aachie wengine; huyu prof. Ni total failure katika medani ya siasa.
 
chama cha makabwela chama cha wanainchi CUF kesho kitafanya matembezi makubwa yatakayoanzia Buguruni shell na kuishia viwanja vya Jangwani, lengo ni kukusanya zaidi ya sh 1bln kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF. Hakiiiii

Mkisha changisha?

Mpe hai maalim, mwambie nimemisi kinoma, sawa sawa?
 
mkuu usiwe na wasiwasi wewe lete shilingi mia yako jangwani hiki ni chama makabwela, wale waliomchangia thumni kambarage wakamnunulia suruali na shati, ndio hawa leo wanamchangia Prof Lipumba kuanza safari ya kutafuta ukombozi wa pili.

Statement za kipuuzi zinaanza sasa, Kambarage hakuwa na nguo eti?

Acha akili za kuambiwa kwenye mawaidha. Baba yake Nyerere alikuwa Chifu sidhani kama suruali yake ilichangiwa Buguruni. Halafu kama unafikiri ukabwela ni PROMO ya maana, mmepotoka. Hiyo ni dalili ya uduni tu na ni kuwaonesha watu kuwa mmeikubali.

Endeleeni na chama chenu cha malofa. Mwambie sultani amwachie hata mwanawe basi manake tumechoka kumuona kwenye makaratasi ya kura akisindikiza wenzake
 
mkuu usiwe na wasiwasi wewe lete shilingi mia yako jangwani hiki ni chama makabwela, wale waliomchangia thumni kambarage wakamnunulia suruali na shati, ndio hawa leo wanamchangia Prof Lipumba kuanza safari ya kutafuta ukombozi wa pili.

Mlishinwa nini kuchangisha siku ile mlipokuwa jangwani?........kwa hiyo wataka tumchangie Lipumba hela ya kununua shati sio??? Mie nilijua ya kujenga chama!

Afu acha kumsingizia Kambarage !
 
Mlishinwa nini kuchangisha siku ile mlipokuwa jangwani?........kwa hiyo wataka tumchangie Lipumba hela ya kununua shati sio??? Mie nilijua ya kujenga chama!

Afu acha kumsingizia Kambarage !

duh! wamenikumbusha!
MAONGEZI YA CUF NA JOTI YATAKUWA HIVI!
"JOTI: braza halafu kunawatu wanajiita chadema wamewaiga nyie kabisa kwenye hili suala la kuchangisha pesa!
CUF: nikweli unajua sisi niwabunifu halafu nichama makini sawasawa?
JOTI: lakini braza wao walianza likini naona wamewaiga!
CUFU: wewe godo potea sisi ndio tumeanzisha hii kitu!
JOTI: anacheka, braza nyie wabayaaaa,braza nyie wabayaaaaaaaa!
CUF: acha ujinga dogo fuatilia mambo!
JOTI!: braza mmekopi na......................! hahahahahahahahah mmekopi na ........
 
Back
Top Bottom