Tamasha la Fiesta: RC Dodoma apokelewa kwa vidole viwili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamasha la Fiesta: RC Dodoma apokelewa kwa vidole viwili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Sep 16, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hii imetokea ucku wa kuamkia jana katika uwanja wa jamhuri Dodoma ambapo RC Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi katk kukabidh gar kwa mshindi wa fiesta.

  Alipanda jukwaani na kusema "Dodoma hoyee" watu wakawa kimya isipokuwa wachache ndiyo waliitikia! Alipowapungia alinyoshewa alama ya Vidole wawili inayotumiwa na CHADEMA.

  Kilichonishangaza ni pale aliposema "TUDUMISHE AMANI ILIYOPO KWA KUWAKATAA WALE WOTE WANAOHATARISHA UWEPO WAKE! DODOMA NI SALAMA KWA SABABU YA AMANI"

  Swali langu;
  Anayehatarisha amani ya Tz ni nani? Anamaanisha tuikatae serikali yetu? Maana polisi ndio wanaohusika hapa kutokana na mauaji, ubambikiziaji makesi, kuhusika na wizi nk. Ikumbukwe huyu RC ndiye alikataza mikutano ya siasa hapa Dodoma saa chache baada ya halaiki ya watu kujitokeza kumpokea mbunge NASSARI kwenye viwanja vya barafu
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  RC anaenda kwenye Dansi la watoto kufaya nini?
   
 3. A

  ADK JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,167
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Siku zao zinahesabika
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ni wapi inapokatazwa mtu mzima kwenda disco
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Amepata alichokuwa anakitaka.
   
 6. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yale Makubwa wanayopaswa kuyafanya yalishawashinda Mkuu, sasa hivi wamehamia katika mambo ya akina Diamond ndiyo wameona ni saizi yao.
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hili nalo neno, mfano mkuu wa kaya
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  angemuuliza kwanza mama salma alichokikuta kwa wototo wa shule moja ya msingi walipompokea kwa peopleeeeez......
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mtu mzima hakatazwi kwenda disko, tatizo ni disko la watoto! Soma tena post ya jamaa sio unakurupuka!
   
 10. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  hawa ndo viongoz we2 cha kushandaza ana phd..apa cjui ni ya mipasho...
   
 11. D

  Dik JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Phd za cku hzi kama karanga!hata mm nitaanzisha chuo cha kutolea phd ila sharti uwe na kadi ya ccm!muda wa mafunzo utakuwa wiki 2!
   
 12. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 13. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Du shuleni kwa mwanangu wanaimba m4change*3 kwenye mchakamchaka asubuhi,.........
   
 14. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wameishia katika mafiesta. Bila shaka aliombwa kuwa mgeni rasmi lakini kama angekuwa na akili nzuri, angemtuma katibu muhtasi wake kumwakilisha. Ni yale yale mkuu wa kaya huletewa mialiko mingi ya mikutano na semina za kimataifa lakini hung'ang'ania kwenda mwenyewe badala ya kutuma watu wa kumwakilisha hata kwenye visemina vya hadhi ya wakuu wa vitengo wizarani. Bongo usiyoijua!!!
   
 15. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Fiesta siyo disco ni NGONO na uchafu wote wa vijana.
   
 16. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu ni dr wa ukweli siO wa wasi2 . Ni dr. Wa darasani. Rc wa ukweli sio Kama . Mcheza disco za usiku mbowe.
   
 17. a

  actus Senior Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani wewe unasubiri sehemu inayokataza na kuzuia jambo fulani ndio na wewe utafuata maelekezo???
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  akili yako ni 1kB
   
 19. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Una uhakika kuwa huyu hana degree au PHD ya nanihii ile mrisho gambo aliyomtuhumu mwanasheria wa halmashauri (w) korogwe??
   
 20. h

  hans79 JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Like komba for Lulu
   
Loading...