Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Sep 16, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni kutokana na taarifa ya saa 1 usiku huu Channel Ten. Kamera yake imeharibiwa na risasi zilirindima hewani, matairi kuchomwa wakati wa zoezi la uchaguzi mdogo leo hii.

   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  haya sasa kazi kwao...waseme tena chadema tunahusika....
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nami nimeisikia habari hiyo Channel Ten na inasemekana kaumizwa ila safari hii polisi ndiyo waliomuokoa kutoka mikononi mwa vijana wa UVCCM.
   
 4. A

  Alhabaad Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi Bububu
  Kuna mtoto wa miaka 15 amepigwa risasi sehem za siri na kufariki
   
 5. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya sasa waseme tena chadema
   
 6. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Kapigwa na nani? Ni policcm tena nn? Na kwani mwafaka unaishia wapi?
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Polisi na mauaji ya raia, ni mpaka lini?

  Assuming hakuna kikundi kinachoruhusiwa kutumia silaha za moto ktk mikusanyiko ya kisiasa zaidi yao.
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  heheheeh sasa dah pole mwandishi bora hujafa
   
 9. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tendwa hana la kujadili hapa.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hao policcm hadi sasa wameshakamata vijana wangapi wa UVCCM? Habari zinavuja kwamba kuna mpango unaoandaliwa na Usalama wa Taifa usiku huu kuchoma makanisa. Si unajua tena katika kupoteza lengo -- kwamba vurugu hizi zimechochewa na wale wajamaa, na sio UVCCM?
   
 11. M

  Mkumbavana Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana visa na waandishi wa chanel Ten?
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tendwa na atoe kauli ya kukifuta chama cha mapinduzi sasa
   
 13. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hicho sasa kfutwe ndg Tendwa usijifiche njoo kesho utuhakikishie hilo!
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu hao lazima watakuwa ni Chadema tuu..subiri kauli ya nape nasikia CDM wanempora polisi smg na kumpiga mtoto risasi sehemu za siri na akafa
   
 15. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  "Hao ni chadema tu, haiwezekani kila siku polisi wapo lakini watu wasife" She - geller.

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 16. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ninachouliza ni hiki: Hivi CUF ni chama cha upinzani cha ukweli? Tuone jinsi watakavyo-react katika hili. Just imagine ingekuwa ni vijana wa CDM ndiyo wamemshambulia huyo mwandishi.
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni lazima waandishi waandamane nchi nzima kupinga unyama wa UVCMM, na unyama wa mama yao Nyinyiemu, na unyama wa walinzi wao policcm. Hadi kieleweke.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapa ni pasafi na tusikie kauli ya huyu Tendwa sasa!


   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuwa makini na kauli yako hapo kwenye red!
  Unatoa mapofu tu!
   
 20. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  mtoto wa kike au wa kiume?
  Hiyo risasi imepenyaje huko?
   
Loading...