Opinion: Ujasiri na uzalendo wa Julius Malema.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Opinion: Ujasiri na uzalendo wa Julius Malema....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kapo Jr, Sep 22, 2012.

 1. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Wana Jf,Julius Malema ni kijana mzalendo na jasiri ktk karne hii,anasimamia maslahi ya wazawa Afrika kusini,alimsaidia rais Zuma kushinda urais kabla ya kuvuliwa uanachama wa ANC. Anasimamia ardhi iwanufaishe wazawa na wawekezaji kama wafanyavyo watawala wa kiafrika ikiwemo Tanzania,bila kujali itikadi au urafiki anachojali ni wazawa wanatimiziwa mahitaji yao-huu ni uzalendo unaopaswa kuigwa na vijana wa kitanzania na kuacha nidhamu ya uoga. Ili nchi iwe na maendeleo ni vyema kuiga afanyayo Malema na si kutaka vyeo na kulewa madaraka hivyo kusahau majukumu yao kwa wananchi. Julius Malema ni mbadala wa marehemu Steve Bikko(RIP) aliyepambana hadi kuuawa na makaburu. Wanajamvi ni wakati wa vijana kusimama mstari wa mbele kutetea rasilimali zetu bila kuwaonea aibu viongozi kwa gia ya urafiki haifai-Ujasiri na uzalendo kama wa Malema ustahili.Nawasilisha!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Yap Jamaa ni jembe.
  ••••••••••••••
  "NAKUA MBISHI KAMA JULIUS MALEMA"--By Kalapina Nabii Koko
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,803
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  Mla rushwa mkubwa Huyo kakosa rushwa ndo kaanza mbwembwe na kwa kesi aliyofunguliwa hatoki Alimtumia zuma Kama mgongo wa kukwiba mapesa, Leo anaumbuka ushahidi nje nje viongozi vijana wajifunze unafiki wa malema
   
 4. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  sana jembe nidhamu ya uoga haifai c mpaka uwe kiongozi ndo utetee wenzako
   
 5. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Phd nadhani n kati ya wawekezaji wanaojali ubinafsi....fisadi ww fear 2GOD
   
 6. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kisiasa ana mtaji mkubwa wa hasa miongoni mwa weusi na vijana. Anaweza akawa hana adabu sana kwa 'wakubwa' wake, lkn ilivyo hapa SA ni kwamba jamaa ana mvuto sana. Ni kwa kiasi gani atatumia hali hii ya sasa, haijulikani, but so far amekuwa anascore political goals at the expense ya JZ. Wacha tuone!
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  huyu kijana namwombea achukue kiti , sababu damu yake bado inachemka.
   
 8. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,274
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa hafai kabisa ni Mbaguzi wa Hali ya Juu na wana mzimika kule south ni vijana wapenda Ubaguzi ila watu wengi sana wameisha mshutukia, ni kama kichaa fulani tu, Mnakumbuka alitishia KUUFUNGA MTANDAO WA KIJAMII WA TWITER? hapo ndo watu walimuona hamnazo,

  Na jamaa ni fisadi sana anaishi kwenye Kitongoji cha Matajiri wa South, anacho hubiri si anacho simamia
   
 9. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  labda uweke ushahidi kuthibitisha ufisadi unaomvika kisha rudi kwenye uzalendo na ujasiri ukiwa kijana onyesha uzalendo acha itikadi jenga nchi yako kwa vizazi vijavyo
   
 10. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,068
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kapo Malema anautaka urais!

  Kwenye kambi yake yupo yeye, Fikile Mbalula ambaye ni waziri wa michezo halafu Tokyo Sexwale waziri wa makazi

  Tokyo Sexwale ndio wakumnyang'anya Zuma asigombee muhula wa pili ukizingatia pesa ya kampeni anayo. Ni mfanyabiashara wa kimataifa, full ubepari huyo

  Fikile Mbalula game plan ya Malema ilikuwa ampigie debe ya ukatibu mkuu wa ANC baadae naye angekuja kuwa rais

  Malema mpaka hapo angekuwa amejijengea mazingira ya kurithi toka kwa Fikile Mbalula

  Hana uzalendo wowote
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu wepesi sana kushikiwa vichwa na opportunistic populist politics.
   
 12. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Julius malema ni jembe na ni dhahabu ya Afrika.
   
 13. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  mkuu ulitaka awe anaishi soweto kwenye gheto la kunguni na chawa ndio useme ni mzalendo?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145

  Nilidhani JUKWAA LA SIASA ni HABARI za SIASA za Tanganyika na Zanzibar tu.

  Julius Malema - Anaendesha RANGE ROVER ana Nyumba kama 3; na HAFANYI KAZI ni kugombea GOVERNMENT CONTRACTS...

  Anawacharge Serikali yake Services zake kwa Hali ya Gharama... Sasa kama ni MZALENDO na anachota kwa SERIKALI yake SIJUI ni UZALENDO GANI

  !!!
   
Loading...