Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,181
Tumepata Taarifa kwamba leo kuanzia saa nane, katika viwanja vya Jamhuri morogoro kutakuwa na ziara ya Tume ya katiba kwaajili ya wananchi kutoa maoni ya rasimu ya katiba mpya. Wananchi mnashauriwa kuwahi kabla ya see nane. Hii ni fursa ya pekee kwa wananchi wa Morogoro mjini.
Wafahamishe ndugu na jamaa, marafiki nk.
Siongezi chumvi.
Mkutano ulihamishiwa shule ya Msingi Sabasaba, Kidogo tukose kutoa maoni.
Anuani yao hii hapa: "katibu@katiba.go.tz" <katibu@katiba.go.tz>
Wafahamishe ndugu na jamaa, marafiki nk.
Siongezi chumvi.
Mkutano ulihamishiwa shule ya Msingi Sabasaba, Kidogo tukose kutoa maoni.
Anuani yao hii hapa: "katibu@katiba.go.tz" <katibu@katiba.go.tz>