Aliyoyasema Mabere Marando kuhusu harakati za CHADEMA kukamata nchi...(22/9/2012)

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wakuu mniwie radhi, mida ya jioni kuna jamaa yangu alinipigia simu na kudai kwamba Marando alikuwa akihojiwa na Kituo cha redio cha Magic Fm. Hakuweza kuendelea kunijuza aichoongea kwani network ilikuwa mbovu.
Kama kuna aliyemsikiliza atuwekee hayo mazungumzo...
 
Mpigie tena huyo mwenzako akupe taarifa kamili kwa sababu sasa hivi naona network haisumbui tena, halafu ndo uje hapa jamvini.
 
ameongelea ubaguzi wa kidini na ukabila ndani ya chadema amesema kama tusipochukua hatua sasa malengo ya kuchukua nchi yatakuwa ndoto.
 
Akaongelea kuhusu juhudi zinazofanyika kuhusu kukuza vile viwanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom