Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, aliongea na waandishi wa habari jana tarehe 7/9/2012. Jambo kubwa alilolizungumzia, ni namna alivyopigwa mweleka na Waziri wa nchi ofisi ya Rais [uwekezaji na...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Wed, Oct 3rd, 2012 Malawian President Joyce Banda on Tuesday said her country will take a long-dormant border dispute with Tanzania to the International Court of Justice for arbitration. "The...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. CCM imemsimamisha kazi Mwenyekiti wake wa UVCCM Arumeru kwa sababu eti amefanana na Mlinzi binafsi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe. Soma habari hii...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
KAMPUNI ya Simon Group, imekabidhi mabasi 15 kwa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yenye thamani ya sh bilioni 2.1 kwa lengo la kurahisisha usafiri jijini yatakayoanza kufanya kazi leo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mhando hakufikishwa mahakamani Na Mhariri (Nipashe) | 7th October 2012 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), William Mhando, hakufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Picha hii weka maneno yako mwenyewe kuhusiana na Kanada kumpa zawadi ya jezi rais Jakaya Kikwete.
0 Reactions
132 Replies
13K Views
IJUMAA, OCTOBA 05, 2012 05:55 NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MBUNGE wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere (CHADEMA), amekabidhi runinga 10 kwa wafanyabiashara wa soko kuu la Musoma mkoani Mara. Mbunge huyo...
7 Reactions
126 Replies
13K Views
Hii ni tahadhari kwa viongozi na wanachama wa chadema. Baada ya tume ya uchaguzi kugawanya baadhi ya kata na majimbo ya uchaguzi mwaka jana, chama cha chadema kililazimika kuteua viongozi wa muda...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Tapeli aitwaye Novatus Mutoka na kitabu chake cha "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo ofisini kwake mkoani...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiona delegation kubwa za high profile leaders wa Tanzania kwa maana ya Viongozi Watendaji wakuu wa Serikali (Wakurugenzi wa Mashirika, Idara na baadhi ya Makatibu Wakuu wakitumia fedha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja ya Sababu zinazowanyima baadhi ya wabunge usingizi ni ile kuongea mambo tofauti na maendeleo ya jimbo lake tu Bungeni wakasahau mwananchi wa jimbo lake alimpigia kura ili asaidie maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni zaidi ya wiki sasa.mgawo wa umeme unaendelea lakini hakuna taarifa yoyote toka tanesco au mamlaka yoyote ya serikali. Hivi karibuni prof muhongo alikuja na mkwara na mbwembwe za hali ya juu na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa hatua ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu kujiuzulu nafasi hiyo ni pigo kubwa kwake na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii article imeandikwa kwenye gazeti la Guardian la UK. Sasa January ambaye mara kwa mara amekuwa anachukiwa na watu wenye husda na chuki ambao hawatokuwa na nia ya kujadili chochote kile based on...
21 Reactions
793 Replies
52K Views
The Tea Party, which is loosely associated with the Republicans in the USA, they often get a lot of flak in the media. Much of that flak is deserved; the tactics the group and many of its...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
MLINZI binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amezua balaa kubwa kwa Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha kutokana na sura yake kufafanishwa na ile ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mh Raisi nikupe pole na majukumu yako ya kila siku ya kusimamia taifa lako.kuhakikisha kwamba nchi yetu Tanzania inaendelea kuwepo kwenye ramani ya dunia.Tofauti na wananchi wengi au baadhi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
“Mimi sitafuni maneno kwamba ni muumini wa Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na mashirikiano kati yake na Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Namshangaa leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu nina hakika zaidi ya 500%, kuwa katiba tunayoitaka Wananchi haiwezi kukamilika haraka, kama Ratiba ilivyo sasa kuwa kufikia 2014 tuwe tumepata katiba mpya! Kukimbizwa mbio mbio...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…