GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Smiley, Aug 26, 2012.

 1. G

  George Smiley JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hii article imeandikwa kwenye gazeti la Guardian la UK. Sasa January ambaye mara kwa mara amekuwa anachukiwa na watu wenye husda na chuki ambao hawatokuwa na nia ya kujadili chochote kile based on facts and evidence bali watakuja na innuendos na stories ambazo zaidi ni za kuunganisha ili waweze de derail hii there.

  Hawa watu wako driven na sifa kem kem na wengi wao mara nyngi ni mashabiki wa upinzanina CHADEMA in particular na wengine wanatokea CCM: Kwa kifupi hawa jamaa wana sifa zifuatazo:

  1.Ideological purity.

  2.Wanaona Compromise as weakness.

  3. A fundamentalist belief in scriptural literalism.

  4.Unmoved by facts.

  5.Undeterred by new information.

  6.A hostile fear of progress.

  7.A demonization of education, the educate and the Intelligentsia community.

  8.Severe xenophobia.

  9.Tribal mentality.

  10.Intolerance of dissent, and a pathological hatred of the Commander in Chief Dr Jakaya Kikwete, his government and CCM.

  Wako humu ndani and they can call themselves the Great Thinkers. They can call themselves Cyber brigade of the opposition. And they can even call themselves CHADEMA – though CHADEMA certainly shouldn't. But I/we should call them what they are – the Tanzania Taliban. And the Tanzanian Taliban cannot survive if January Makamba and the young politicians of his calibre who are passionate about development of this Great Country are in charge or are allowed to bring in Development initiatiatives such as Bumbuli Development Corporation (BDC) and the like.


  That said, mtegemee makundi yafuatayo kwenye hii thread:

  1. Kundi la kwanza ambalo lina ugonjwa unaoitwa JANUARYPHOBIA litakuja kumtukana na matusi kede kede bila kusoma article.

  2. Kundi la pili litakuja kutoa tuhuma za rushwa bila kuonyesha ushahidi wowote ule kuwa J amekula rushwa. Kundi hili nalo halitosoma hiyo article.

  3. Kundi la tatu litaingia na kukandia huuu mpango wake wa kuendeleza Bumbuli. Yes lipo kundi ambalo halipendi chochote kile cha maendeleo kifanyike kwa watu walio vijijini.

  4. Kundi la Nne hawa wanaitwa JANUARYHATERS. Hawa hawatokuja na hoja yoyote ile zaidi ya matusi ambayo yatamlenga baba yake Mzee Makamba, Mwamvita na January. Kundi hili deep down wanamchukia huyu kwa sababu za husda tuu na hakuna zaidi.

  5. Kundi la tano ndio hili lililohodhi JF na pia wakati mwingine wako sympathetic na CHADEMA si kwa sababu Chadema wana la zaidi bali kwa sababu ya bifu zao na CCM. Kundi hili ni prominent members wa JF ambao wachambuzi mahiri wa posts za JF lakini pia nao reasoning yao inakuwa clouded na lile kundi la kwanza lenye ugonjwa wa JANUARYPHOBIA. Watajaribu nao kulalamika kuwa January kwa nini yuko CCM huku wakisahau kuwa hata huko CHADEMA nako ni CCM 'B'. So wataendeleza matusi lakini tofauti na makundi ya awali wao watasoma article kisha watatamani majimboni kwao wangekuwa na na shirika la maendeleo kama BUMBULI DEVELOPMENT CORPORATION ambalo llipo kwa ajili ya kuwaendeleza wananchi wa jimbo la bumbuli. Kundi hili lita kandia mipango yoote ya maendeleo ya BDC kwa sababu ya kuichukia CCM 'A'.

  Kundi la sita: Hawa wapo kwa ajili yakusoma as they cant be bothered kujibu, kuchangia au kusema neno na hawa ndio the silent majority ya wana JF. na jinsi hii thread itakavyovamiwa na January haters.

  Thread ikifika siku ya Ijumaa tarehe 31 August thread itakuwa imejaaa matusi ya kumtukana January na hakuna atayejadili mpango wa maendeleo wa Bumbuli.

  Let the hate begin....!
  [​IMG]

  Tanzanian minister January Makamba on the campaign trail. Photograph courtesy of January Makamba

  January Makamba is Tanzania's deputy minister for communication, science and technology. In 2009, President Kikwete introduced him to Barack Obama, who was much taken by his dynamism, observing that he was the sort of politician likely to help transform the fortunes of the continent.

  Makamba is an interesting combination of old and new Africa. He attended university in the US, but explains that, although he is the son of a teacher, politician and public servant, it was the time spent in Tanzania's rural areas as a child that most influenced his development. "The most rewarding experience was living with my grandmother. The daily routine was testing – I'd wake at 5am, walk 8km to school, come home at 3pm and go out to herd goats." This gave him, he feels, the "empathy needed for good decision-making".

  It was empathy that turned him into a politician when, in his gap year, he was manager of Mtabila refugee camp, overseeing 120,000 Burundi refugees. "Witnessing that misery made me political." It made him "philosophical". But Makamba has emerged as a politician who does more than philosophise. He is an innovator with formidable drive. He is determined to unshackle his country from reliance on aid. He set up
  Bumbuli Development Corporation to borrow $10m from Wall Street philanthropists, invested in bonds with dividends to be spent in his constituency. "We decided not to find an NGO to help us but start our own – and not make it a charity. We have had a flurry of NGOs with little impact. This corporation would be a driver for development and private enterprise.

  It would be a social business with huge potential." The corporation money is already funding community projects. He gives an example: "Fifty per cent of our fruit and vegetables used to be spoiled before going to market." Now, a "new aggregation centre" is putting this right.

  His most exciting innovation, launching next month, is a new text message anti-corruption campaign, a global naming-and-shaming project. "Only 6.9% of corruption cases are currently reported. We want to solve the problem. Almost everyone in Tanzania has a mobile." He sets the scene: "At a hospital you are asked for a bribe. You have a USP code, you enter the location and details of the bribe and send it to a web platform: it will appear as a dot on a map so everyone can see that at a certain hospital a bribe was asked for."


  source: New Africa: the politician fighting corruption in Tanzania | World news | The Observer
   
 2. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  So baada ya kuonekana kwamba kuna sehemu rushwa imeombwa........???????
  Nani asiyejua kwamba rushwa inaombwa na inatolewa.........????

  Kweli an interesting combination.......biography......campaign and obsession
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Mafisadi wana pesa nyingi sana za kutosha kusafishwa hata na CNN nani asiyejuwa?

  Eti anapinga ufisadi, kwa kupitia chama gani? CCM? Lini na wapi? Hizi porojo tu na wananchi wa kawaida sidhani kama they care about this, they know the truth, and so nashangazwa na merit ya habari hii pamoja na malengo yake either mwandishi,ama January ama maybe both wana agenda moja mbaya.

  Eti atapinga ufisadi kwa text, upuuzi mwingine bana unaudhi sana. Mmeshindwa kuondoa mafisadi kwenye chama na serikali sasa mnadanganya wananchi wa text kuhusu rushwa ndogo ndogo. Mfano unatakiwa uanzie juu! Wajibisheni mafisadi kama wananchi hawatafuata mfano na kusema kweli nikimripoti hatua itachukuliwa.

  Mnaniudhi sana ndugu Makamba kwa kutona kama sisi wajinga kiasi hiki!
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  yuko kimaslahi zaidi,pengine anazivia pesa flani somewhere za kampeni.Hawa watu wabinafsi sana,sijui wanamwongoza nani?
   
 5. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  It si good for confusiong people who do not want to spend even a single second to think about everthing around them.
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Kumbe Makamba ni Game Programmer,
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,315
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Rushwa inayomuumiza mtanzania si hii inayoombwa na clinical officers au nurses kwenye vituo vyetu vya afya. Ni ile inayotolewa na multinationals kwa viongozi wetu kama vile tunavyosikia kuwa wamewekewa billions huko Uswisi, na kama vile Barrick walivyompa Makamba huyuhuyu billions kuwasaliti watanzania wenzake wa Nyamongo.
   
 8. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Every point in this story is not making any sense. What is the point here?
   
 9. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa anapenda sana kujiuza kwenye vyombo vya nje.Mara The Economist,hivi zile ahadi za Bumbuli-Matunda,mboga na magari ya usafirishaji sijui zimefikia wapi!
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Sulemani na George Smiley wana undugu wowote?
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tanzania ni nchi ya sanaa na wasanii ...
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  vifisadi vidogo vidgog vipo kazini..
   
 13. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Is this a Guardian article? It is just below par...it is not even boring,just pathetic. Is a Sms campaign an innovation? How many times have we seen or read this being done somewhere with little or no impact.

  The most infuriating thing is him trying to use the overused story of 'humble beginning and seeing poverty in rural areas'. He lacks an original story, kwani ni lazima amtaje Obama? Check the parallels in his story with Obama's ...kwamba na yeye aliishi na bibi yake kwenye umaskini...umaskini huo na kukaa na watu wa kima cha chini ulimfanya apende siasa...

  Kiongozi unashindwa kuelezea historia yako bila kupiga copy and paste narration!? Which empathy does this guy show...why can't he wait for others to see and tell of his empathy rather than him painting himself that way.
   
 14. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,416
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Usishangae akasema anautaka uraisi. Wenye data ya CV zake wamwage hapa.
  Dh, CCM kubebana bwana. Mimi niko sawa nayeye lakni kashashika vyeo kibao. Mimi niko wizara fulani. Tz inatisha
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  jmushi1

  Mkuu, hapa ndipo mimi ninapotofautiana na baadhi yetu humu! Tunapaswa tuwe na genuine appreciation kwenye every good deed someone does, na kiukweli, this guy ni briliant na upstairs yuko fit sana!.

  Niliwahi kusafiri nae same flight na baada ya hapo nikapanda lift yake na ndipo nilipokuja kumfahamu vizuri, kiukweli, he should have not supposed to be CCM kwa sababu anaelewa fika how CCM stink with rushwa, huyu alipaswa kabisa kuwa kwenye opposition, tatizo lake he is too genuine, anaijua vizuri Tanga, anawajua vizuri watu wa Tanga, ameamua kubaki CCM just not to waste the opportunities, ili watu wa type hii, 'young, vibrant reformists, wakiishika CCM vilivyo, nawahakikishia 2015, ikulu tutaishia kuisikia kwenye bomba tuu!. Thank God CCM is rot toka kwenye mizizi, anachotaka kufanya ni kukata tuu matawi ya rushwa kule kwenye ncha kwa kuibua hivi vijirushwa vidogo vodogo vya kiasi cha mboga, huku mashina na mizizi yenye grand corruption are untouchable na huu ndio mtaji mkubwa wa kifo cha CCM!.

  Mushi, tuwe wakweli, Watanzania wangapi wanaweza ku secure international loan?, wangapi wanajua "bond" bussiness?, wangapi wanaweza kuwekeza "wall street? etc?. This is a good move na kama ni kweli, Chadema itachukua 2015, then 2020 ni January type watairudisha madarakani na itatawala milele!.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Makambo!!!! This is another timed bomb to Tanzania. If JK is bad, J Makamba can turn to disaster to Tz
   
 17. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Pasco; Hapo kwenye Red ndo kunamfanya asifae. Kama anajua hayo kwa nini anakaa nao. Hapo anaonyesha jinsi gani anaweza kula uchafu ili apate uongozi. I hate such people.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  The daily routine was testing – I'd wake at 5am, walk 8km to school, come home at 3pm and go out to herd goats." This gave him, he feels, the "empathy needed for good decision-making".

  nilikuwa natafakari mstari huo...
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  January ni moja kati ya wanasiasa makini ambao "wanafanya badala ya kupiga domo..!na kulaumu serikali " kuna mabadiliko mengi ameyafanya bumbuli na ana mipango endelevu ...

  Hongera sana! muheshimiwa.
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Unless kama tunataka malaika toka CCM ambao kwa hakika hawapo
  Lakini vinginevyo Mh J Makamba ni miongoni mwa wachache kutoka CCM wenye kuleta matumaini tofauti na viongozi wenzake wengi tu toka CCM

  Makala hiyo inaweza ikawa na nia ya kumjenga kisiasa na hii ndio michezo ya siasa duniani kote kutafuta publicity, so hainishangazi wala kunishtua kama wengi wetu humu ndani walivyotaharuki
   
Loading...