Malawi to take border dispute with Tanzania to ICJ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi to take border dispute with Tanzania to ICJ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 3, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wed, Oct 3rd, 2012


  Malawian President Joyce Banda on Tuesday said her country will take a long-dormant border dispute with Tanzania to the International Court of Justice for arbitration.

  "The issue has gone too far and Malawi will seek international help to ensure that justice prevails," Banda told a news conference.

  Malawi and
  Tanzania have been bickering over a largely undeveloped swathe of Lake Malawi, where Lilongwe has awarded a licence to British firm Surestream to explore for oil in northeastern waters near Tanzania.


  "I have decided to take to the International Court of Justice to determine and resolve this wrangle," Banda said.


  She said her country had cancelled a fresh round of talks in
  Tanzania last month after Lilongwe discovered that Tanzania has produced a new map.


  "We decided to call off the follow-up dialogue meeting over the lake issue after we discovered that Tanzania had issued a new map with part of our lake."


  Last month's talks hosted by Malawi ended in a dead-lock after the two neighboring states said they had failed to reach a common ground and differences still remained.


  She said tensions were rising with reports that Malawi fishermen were being "abused and harassed."


  "It is serious now. We have been informed by Tanzania that our boats should stop sailing on the lake otherwise they will blaze them up," said Banda.


  Malawi claims ownership of the entire lake under a 1890 accord whose validity is disputed by Tanzania and wants a halt to the oil exploration currently under way to pave way for a diplomatic resolution.


  Source:
  The New Times

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Ok she did it...
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  And the ICJ will rule as it did in the past that "It will be for the Parties... to fix the position of the [lake] and to define two points lying on the same parallel of latitude, such that a straight line drawn between these points will divide the expanse of the [lake] in equal proportions between the Parties."
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  In this issue Tanzania needs to be a bull and stand her ground. There's nothing the ICJ can do if the parties involved in the dispute can't agree. Besides, this isn't the only border issue. The Japanese and Chinese haven't resolve their problems. So do the Chinese and the Philipines. There are territorial claims in the Arctic and Antactic, and the list goes on and on.
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda ametangaza rasmi Nchi yake kujitoa kwenye mazungumzo na Tanzania kuhusu mzozo wa mpaka katika ziwa Nyasa.

  Sababu kuu ni kuwa serikali ya Tanzania haina nia ya dhati ya kufikia muafaka kutokana na:

  1/Kuzindua ramani mpya ya Tanzania inayoonyesha mpaka upo katikati ya Ziwa.

  2/Unyanyasaji ulioanza kufanywa na Tanzania dhidi ya wamalawi wanaotumia ziwa hilo kwa sasa.

  3/Upotoshwaji wa hali ya juu uliofanywa na Kikwete dhidi ya wamalawi kwenye hotuba yake kwa taifa mwisho wa mwezi wa september.

  SOURCE: Gazeti la Mwananchi.
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tuwachape tu hao
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  atachukua hatua gani sasa huyo mwanamke
   
 8. C

  Concrete JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sio rahisi kama unavyofikiri, jiulize kwanini DRC wanashindwa kuivamia Rwanda ambayo ni nchi ndogo sana?
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,668
  Trophy Points: 280
  Tanzania inachotakiwa kufanya ni kutoa tamko tu, kuwa ole wa Mmalawi au asiye Mmalawi kuingia ndani ya mpaka wa Tanzania pasipo kibali...
   
 10. B

  Bwaga ya moyoni Senior Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "atachukua hatua gani sasa huyo mwanamke"

  Nadhani amesema kuwa analipeleka suala hili katika mahakama ya kimataifa. Hajazungumzia vita. Bado anatafuta majawabu ila kwa njia ya mahakama yakimataifa. Chamsingi ni sisi kujipanga kujibu hoja za wanasheria wake kule katika mahakama zakimataifa.
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Anasema anaendelea kuchukua ushauri kabla hajaenda mahakama ya kimataifa, mahali ambapo wadadisi wengi wanahisi ana nafasi kubwa ya kushinda.

  Na tayari amesha shauriana na Ban kim Moon kabla ya kutangaza kuvunja mazungumzo.
   
 12. e

  eddy JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,381
  Likes Received: 3,775
  Trophy Points: 280
  Ni kweli suala la mpaka halina mjadala labda kama anataka kujadili jinsi ya kujiunga EAC au SADC, wakati dunia inafikiria kuungana yeye anafikiria mipaka tena iliyowekwa 1800 zama za biashara ya utumwa! Huyu mama ashukuru angekuwa amepakana na Sudan tayari angekuwa ameshapokea kichapo kutoka kwa Al-Bashir.
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Ohooo usaniii wa baba fulani utaiponza nchi tena.....
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  safi sana... sometimes too much discussions distract the will to win...........
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Umeona eeeh!
  Tunamtambua kama tapeli la kitaifa, sasa ameamua kuwa tapeli la kimataifa.
   
 16. L

  Luggy JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 2,126
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  acha kuturinagnisha na DRC,sisi ni sisi wao no wao,inawezekana kuwachapa
   
 17. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hata aende mahakama ya wapi kuhusu kulichukua ziwa asahau, hata akishinda kesi kule ziwa hapati
   
 18. C

  Concrete JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  We said so. Nothing you can discuss with our recent government.

  Mazungumzo kwa serikali ya JK maana yake ni kuchelewesha muda ili upepo upite lakini sio kutafuta suluhu ya kudumu.

  Hawa wamalawi walikuwa hawamjui vizuri JK sasa wamemjua vizuri!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  anawashwa huyu ama na anataka popularity kwenye nchi yake tu huyu
   
 20. C

  Concrete JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwanini ujiulizi nchi kubwa na yenye nguvu kubwa ya kijeshi kama China hawataki kukimbilia vita dhidi ya nchi ndogo sana ya Japan kwenye mzozo wa kugombea visiwa?
   
Loading...