live up date.M4C dodomo

IBRAAH

Senior Member
Aug 3, 2012
161
47
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.
 
Pamoja mkuu,makamanda wa chama dume cdm kila kona...usisahau mapicha mkuu.
 
Achana na wazushi we endelea kutueleza kinachojiri mkutanoni mkuu. Makamanda gani wanahutubia huko?
 
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
 
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
Ilikuwa inawenyewe sasahv M4C
ndio habari ya nchi.
 
Back
Top Bottom