Kama Bagenda, huyu naye anataka kumtapeli Kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Bagenda, huyu naye anataka kumtapeli Kikwete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Father of All, Oct 7, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Tapeli aitwaye Novatus Mutoka na kitabu chake cha "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo ofisini kwake mkoani Dodoma

  Kwa wanaokumbuka kitabu cha hovyo cha "Tumaini Lililorejea" kilichoandikwa na Prince Bagenda akijikomba kwa Kikwete ili amkumbuke kama alivyofanya kwa Salva Rweyemamu, wanajua kilichofuatia. Bagenda akiwa msomi lakini mjinga, aliandika kitabu cha sifa za uongo sawa na Julius Nyang'oro ambaye hivi karibuni alikutikana na kashfa ya kughushi.

  Naona sasa amejitokeza tapeli mwingine pichani aitwaye Novatus Mutoka ambaye eti ametunga kitabu cha kueleza Kikwete alivyomuenzi Nyerere! Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. Kikwete anaweza kumuenzi Nyerere kwa madudu anayofanya?
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Angalia kijiofisi chake kinadhihirisha bila Shaka yeyote kuwa Bwana Huyu njaa inamuuma, njaa Haina umri ndugu zangu.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Hivyo vitabu huwa vinananunuliwa na nani?
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wanamjua jamaa mpenda masifa, ngoja na mimi nimwandikie, natafuta title, nadhani hii itamfurahisha, "Mafanikio ya Ziara za Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete nje ya nchi"
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Na Ikulu na wajukuu za rais
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  njaa mbaya wakuu,hapo anatafuta publicity then utasikia kuna position anagombea through magamba
   
 7. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Alishawahi kucikia Nyerere akiingiza familia yake ndani ya chama..? Aache ulofa huyo atafute njia nzuri ya kupata mlo wake na ciyo kujikomba kwa kuandika utumbo..
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Kumbe Mzee Yusuf Makamba aliona mbali sana, maana nadhani yeye ndio muhasisi wa sanaa hii ya kuandika vitabu vya kumpamba huyu Given PHD.

  Ni aibu sana kama JK Nyerere alikuwa anaandika vitabu yeye mwenyewe na kwenda pale Nkrumah Hall UDSM kupata challenge za wasomi leo aje kufananishwa na huyu Kikwete, nadhani sasa Mwalimu Nyerere foundation lazima walinde maadili na jina la Nyerere lisitumike tena na waganga njaa kutimiza agenda zao za utapeli.
   
 9. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pengine kapewa tenda ya kuandika ili angalau kuwepo na kumbukumbu zake kwenye dunia ya vitabu. Si unajua mpenda masifa alivo. Asiposifiwa hutafuta wa kumsifia.
   
 10. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunauhaba wa karatasi za chooni na karatasi za kufungia mandazi na vitumbua.
   
 11. M

  Maseto JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kuna aina nyingi za kuomba.hii ni mojawapo.msimlaumu.
   
 12. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Duh! mkuu Matola, nchi iliyojaa rushwa na ufisadi kama hii usishangae kusikia viongozi njaa pale wizara ya Elimu waka lazimisha kitumike kufundishia somo la Uraia (Civics) kwenye shule za Kata (St.Kayumba).
   
 13. n

  nyangasese Senior Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bagenda,Salva Rweyemamu,Novatus Mutoka.mh....?
   
 14. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wenzetu hawa vp? Haf kama wanakotokea nikumoja wote
   
 15. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Upande mmoja kuna mwakyembe, mwandosya, ulimboka, mwangosi mwingine ni hao akina bagenda, mutoka, rweymamu! Mmmh!
   
 16. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  I think one side of the coin is the one which calls a spoon a spoon and the other side they call a spoon whatever!
   
 17. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nimewasahau prof.mukandara, dr.bana and kuna wengine walio okoka kama dr.lweitama! Huyu ni dr wa ukweli si mnafiki!
   
 18. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Watanzania wa leo hawahitaji kuandikiwa maana wanayaona wenyewe hao wanaoandika wanapoteza muda tu
   
 19. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Unacheza na TZ! Kinaweza kuidhinishwa na Wizara ya Elimu kuwa kitabu cha kiada katika shule zetu.
   
 20. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  SATURDAY, OCTOBER 06, 2012

  KITABU CHA HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE CHAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI DODOMA


  [​IMG]
  Mwanaharakati Novatus Mutoka kutoka Mkoani Dodoma akiongea na waandishi wa habari (hawapo picha) leo mkoani Dodoma wakati akitambulisha kitabu chake kinachoitwa"HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" ambapo pia alielezea lengo la yeye kuandika kitabu hiko mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani)
  [​IMG]
  Mwanaharakati Novatus Mutoka akionyesha kitabu alichoandika yeye kinachoitwa "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo ofisini kwake mkoani Dodoma.

  SATURDAY, OCTOBER 06, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG
   
Loading...