Maalim seif asisitiza juu ya jamhuri ya watu wa zanzibar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim seif asisitiza juu ya jamhuri ya watu wa zanzibar!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngida1, Oct 8, 2012.

 1. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 555
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  “Mimi sitafuni maneno kwamba ni muumini wa Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na mashirikiano kati yake na
  Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Namshangaa leo anakuja kiongozi wa Zanzibar anasema tuna bendera na muhuri na wimbo wa taifa,
  hayo yanatosha. Hivi huyu anajua anachokisema au anatumikia maslahi ya waliomtuma? Una bendera gani hii ambayo mwisho wake Chumbe?
  Mimi nataka niione bendera ya Dola ya Zanzibar inapepea Umoja wa Mataifa, New York pale. Nataka tuwe na Paspoti ya Zanzibar,
  nikisafiri nitoe Paspoti ya nchi yangu. Nataka tuwe na Ofisi za Kibalozi za Zanzibar katika nchi za nje".


  ZANZIBAR NI KWETU: SEIF SHARRIF ATAKA DOLA HURU YA ZANZIBAR!
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie napenda jamhuri huru ya watu wa Pemba.
   
 3. WILLY GAMBA

  WILLY GAMBA JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 212
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndio ndoa za mkataba zilivyo, sasa Seif ameanza kufunguka. Hapo Magamba walipigwa mimba na watajifungua 2015
   
 4. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  wapemba wajanja saaana. utaona viongozi wa Unguja wanataka muungano lakini makaburu wa kipemba akina Radhu na Maalim hawataki. utaona viongozi weusi wa kizanzibar wanataka muungano lakini hawa waswahili au waarabu koko hawataki...
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tushawagundua hawatuyumbishi. Wanataka kumrejesha muungu wao sultani aliyekwamba ulaya baada ya kukataliwa kwao kutokana kufukuzwa miaka mia nyingi iliyopita. Hawatafanikiwa. They are daydreaming if anything.
   
Loading...