Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda...
Nani "CCM–B" CHADEMA au CUF?
Juma Duni Haji
Tanzania Daima Jumatano Makala | Oktoba 10, 2012
MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha...
Kutokana na kuishiwa sera na hoja nyakati za kampeni katika vipindi vya chaguzi viongozi kadhaa wa ccm kama nilivyowataja hapo juu wamekua wakiishia kuhutubia matusi kejeli na dharau dhidi ya...
Watanzania tunakoelekea yawezekana hatupajui au tumekuwa kama watu tuliofungwa kitambaa cheusi usoni. Nasema hivyo kutokana na tabia yetu ya kulialia ambayo kamwe imekuwa haiwasilishi uhalisia wa...
M/kiti wa Chama Cha CUF Prof Lipumba amesema akiingia madarakani kuongoza Tanzania atamtumia kamanda Mzee Ndesamburo kuimairisha utalii kwenye nchi yetu, amezungumza hayo wakati akihutubia...
Ninashangazwa sana na Bi. Asharose Migiro kwa kitendo chake cha kukaa kimya hata baada ya tume ya haki ya binadamu kutoa taarifa kuhusu haki za kibinadamu zinazoendelea kuvunjwa na serikali isiyo...
Mchakato umeanza mapema kabisa: vinara kwa sasa ni Lowassa na Membe kwa upande wa CCM, na Zitto na Dr.Slaa kutoka CHADEMA.
Kuelekea 2015 vigingi vitakuwepo vingi tu, kwa hao wanne na wengine...
Lile jiwe la Tawi la Kingstone ambalo lilifunguliwa na Mheshimiwa mchungaji Msigwa na kwa maandamano zaidi ya vijana 700 katika kata ya Boma -Morogoro usiku wa kuamkia leo limevunjwa.
Ikumbukwe...
Jana tarehe 9/10/2012 CHADEMA walizindua kampeni zao za kugombea udiwani kata ya Mpwapwa mjini iliyowazi baada ya kifo cha diwani DR. Maiseli miezi minne iliyopita.
Uzinduzi huo ulifanyika kwenye...
UCHAGUZI wa jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha umeingia dosari kubwa sana baada ya katibu wa CCM mkoani hapa Bi.Mary Chatanda kunusurika kichapo kutoka kwa...
Baada ya kusoma ripoti ya kamati ya Kitchen Party ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi nimebadili msimamo wangu wa jinsi nilivyokuwa namkubali sana Mhariri huyu wa gazeti lenye heshima ya mgongo...
CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto...
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa...
Ni mara baada ya kuwepo uzi uliosomoka 'Mishahara UDSM utata mtupu' uongozi wa UDSM umeitisha Mkutano wa wafanyakazi wote ambao utahutubiwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Simpho...
Katika hali isiyo ya kawaida Katibu wa CCM Mkoani Arusha amejikuta akiaibishwa na Mkutano Mkuu wa CCM baada ya kujifanya kusahau kumtambulisha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.
Hili lilisababisha...
MHADHIRI ASEMA SERIKALI IMEJIVUA NGUO
na Edson Kamukara
SIKU moja baada ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, kutoa ripoti ya uchunguzi wa mauaji ya...
Dodoma ni moja ya mikoa iliyo nyuma kimaendeleo hapa nchini na haufanani kabisa na jina kubwa ililobebeshwa na serikali ya CCM kwamba ni mji mkuu na makao makuu ya serikali.Mambo mengi bado hayako...