Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
...Kwangu mimi hii ni taarifa nzuri kusikia kuwa Mama Kilango ameanza kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa UWT...hii ni habari nzuri kwasababu,Anna Kilango Malecela ni mpinzani mkubwa wa Sophia Simba..Na hii inakumbwa kwa mara ya kwanza walioneshana ubabe wakati wa kukaribia uchaguzi wa mwaka 2010 pale Sophia Simba alipowatuhumu Mzee Malecela na Mama Kilango kusaidiwa pesa toka kwa mafisadi kufanikisha ndoa yao.Na ndipo Mzee Malecela aliposema inapaswa sasa watu kupimwa akili kabla ya kugombea au kupewa uongozi.

...Kwangu mimi hii ni vita nzuri ambayo itaendelea kumong'onyoa hiki chama chetu cha majambazi.Well done Mama Kilango kwa maamuzi yako.


source:Mwananchi.
 
This is going to be an interesting cat fight. Their last UWT elections were quite dramatic.
 
Hehe patamu hapo kwani wote ni waropokaji na wambea na wafitini.
Nakumbuka uchaguzi ulopita wa UWT huyo sophia simba alimpiga fitna mama kahama hujapata kuona.
Mama kahama wa watu mstaarabu,uswahili na fitna hazijui aliiona dunia chungu na alijuta kugombea dhidi ya sophia simba..matusi kwake kawaida.

Kwa tabia aloonesha kilango lately,mwache tu akagombee waaibishane-kuaibika kwa kilango ni faraja kwangu..kuaibika kwa sophia simba pia kutasuuza moyo wangu.so it‘s a good fight.
 
hivi karibuni Anna kilango kabadilika sana nadhani kweli kuna madaraka anatafuta kageuka ghafla mwenendo wake ili wakati ukifika aungwe mkono. ukiunganisha dots kuna ishara na taarifa ya mwananchi.
 
Hilo lenu magamba, ngoja sie tupite zetu, endeleeni kujadili limustakabali wa lichama lenu.
 
Itabidi sasa wabadili jina.UWT ni kama wanawake wote wa Tanzania bila kujali Vyama vyao vya siasa
 
Sasa CCM hapo itapasuka vipi?

madamu ina maana kila siku we uko kwenye naniiiiii tuuu, mbona pumba kila siku. Kamuone dr sio kitu cha kawaida hicho, mi huwa najua maximum ni siku t*n*, we mbona umepitiliza?
 
huyu mwanamke wa kipare hatari sana..si mtu hata kidogo..na viguu vyake vile..ngoja aje mwanae @NY sijui kamaliza ziara vijijini sina hakika kama alipita mabwepande
 
ngoja wapambane wenyewe kwa wenyewe.. ila kilango cimpendi..
 
ngoja wapambane wenyewe kwa wenyewe.. ila kilango cimpendi..

Licha ya matatizo yote ya Sophia Simba lakini ni nafuu mara 100 ya Anne Kilango. Ni mwanasiasa mwenye kinyongo na visasi mbaya zaidi ana jazba na ni mropokaji!
 
Tatizo la ccm sifa kuu ya kupata uongozi inabidi uwe mtu wa kutema pumba, mipasho, matusi na ushaku naku , hapo utapata uongozi haraka sana. Hii imesababisha kukosa watu wenye mtazamo mpana katika kuleta maendeleo. Hivyo sishangai hawa wanawake wawili kupata uongozi kwa vigezo hivyo, but natural of fact hawana vigezo vya kuongoza watz kufikia kwenye green pasture
 
Back
Top Bottom