Machinga wazidi kunyanyaswa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machinga wazidi kunyanyaswa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnyinda, Oct 6, 2012.

 1. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kile kinachoaminika kuwa niunyanyasaji unaosababishwa na chuki za kisiasa machinga jijini arusha pamoja na wamama wauza mboga wameendelea kukamatwa na kutoswa faini ya sh5000 halihiyo imeleta minong'ono jijini hapa pamoja na mambo mengine pia wasukuma mkokoteni nao pia watangazi wahondoke.
   
 2. m

  malaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waambie wasijali 2015 sio mbali wafunge na kuomba.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  Ila haya yote yatapita...Bado kitmbo kidogo tutafutwa machozi yetu....Kanani ipo near..
   
Loading...