Kamanda rogerz kuongoza uzinduzi kampeini kata lwezera-geita leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda rogerz kuongoza uzinduzi kampeini kata lwezera-geita leo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Oct 6, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Msafara wa Mbunge kivuli jimbo geita na katibu wa cdm wilaya geita ndo unakaribia eneo la kuzindulia kampeni. Zaidi nitakuwa nina wajuza yanayo jili. Kwa pamoja tutashinda kwa sababu lazima wema ushinde ubaya.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Pamoja sana!
   
 3. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa
   
 4. k

  kwamagombe Senior Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Usisahau kuweka na picha, itatusaidia pia kufanya tathmini. kila lakheri
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mpaka kieleweke.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Omusilanga,tuko pamoja kamanda nipo eneo la tukio pia,hii kata tulishaitwaa tayari,hako ka Profesa Majimarefu Jr. walikokasimamisha hawa ccm hakana uwezo kabisa wa kukabiliana na muziki wa cdm,naona tuanze maandalizi ya kuapishwa kamanda IBUGA kuwa diwani, product safi kabisa toka Musoma High School,i salute wana Lwenzera kwa kutuchagulia mgombea makini na anayekubalika na rika zote
   
 7. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hizi chaguzi ndogo zinafanyika lini?
   
 8. M

  Mr jokes and serious Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaga mapicha hapo uwanjani.
   
Loading...