Live updates: Uzinduzi kampeni Rombo kata ya Nanjara Rea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live updates: Uzinduzi kampeni Rombo kata ya Nanjara Rea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Oct 6, 2012.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkutano unaendelea hapa na kamanda Mbowe Ndio anaendelea

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  --
  [​IMG]
  Mgombea wa kata ya Nanjara Rea, Rombo (ndugu Francis Alfred Salakana) akisalimianana Mhe. Mbowe

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana Mkuu, endelea kutujuza
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Muda unakwenda speed mno. Endelea kutujuza nini kinaendelea huko au uko pekee mwana JF huko. jipe moyo.
   
 4. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kamanda mbowe anahutubia kuhusu umuhimu we uchaguzi Huu kwa mustakabali we taifa letu , na Mbunge wa Rombo ndugu Selasini alielezea jinsi ambayo ameweza kupata maradi ya Maji kata hii ya Nanjara tayari imepewa MAJi vijiji kadhaa mpaka sasa
   
 5. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umuhimu wa uchaguzi Huu kwenye kata 29 ni kuwa tunatakiwa kuwapelekea jumble Ccm kuwa chama chao kinaendelea kufa
   
 6. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anasema taifa linaangamia kutokana na viongozi kuamini uchawi , kwani kuna viongozi wanategemea uchawi, ni wakati i sasa aw kuwa na viongozi wanaomwogopa Mungu .... Kwani Kama hawamuogopi Mungu Kamwe hawawezi kuwaogopa na kuwatumikia wananchi.
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Duh kumbe makamanda leo wametawanyia Arusha na Moshi? mwaga data mkuu mkutano umendaje? Mbowe kamwaga sera gani?
   
 8. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna picha ya mwisho ya za wadi aliyopewa kamanda mbowe inafurahisha sana; iangalie hapa chini:

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 9. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uzinduzi umekuwa Nzuri ,ila polish mchana waliwakamata Vijana we bodaboda ili wasishiriki mkutano na wameamua kuwa lazima kata iende CDM kwani wanafanya kampeni usiku na Mchana
   
 10. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  twanga kotekote
   
 11. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hakuna rangi wataancha kuona mwaka huu! Dawa yao ni kuwabana kila kona ili wazidi kuchanganyikiwa.
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hakuna kulala jombaa mpaka kieweke
   
 13. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli, mwenye kisu kikali ndo atakula nyama.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  There are currently 15 users browsing this thread. (2 members and 13 guests)


  Mmmm..... Ngoja nipate:A S-coffee:
   
 15. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ndugu sijaona uzinduzi wa ccm au ndo mnandaa ile mbinu ya ubwabwa
   
 16. josefast

  josefast JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ebana hapo ni nanjara sehem gan? bila shaka Eleuter Silayo aka Mbuya atakuwa mstar wa mbele
   
 17. M

  Magesi JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vp mkuu huyu ni ndugu na gamba salakana?vp upepo ukoje huko
   
 18. epson

  epson JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  a town mambo safi, huko nako pouwa
   
 19. s

  sanjo JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Daima chama kinachokaribia kufa lazima kitapetape kwa kutumia hila zozote. lakini zama za CCM kushika hatamu zilishapita.
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  watu wa Rombo walishachoka kitambo na CCM tangu enzi za Mramba
  wao wanataka utekelezaji na sio blahblah.
  nawapongeza sana wanaRombo hawadanganyiki
   
Loading...