Live Updates: Misa ya Maziko ya Kardinali Rugambwa kanisa la Kashozi - Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live Updates: Misa ya Maziko ya Kardinali Rugambwa kanisa la Kashozi - Bukoba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUDO, Oct 6, 2012.

 1. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Misa ya Maziko ya Kardinali Rugambwa inaendelea katika kanisa la Kashozi nje ya mji wa Bukoba, baada ya misa yatafuata maandamano kuelekea kanisa Kuu la Bukoba yatakapofanyika maziko rasmi.

  Misa imeongozwa na Askofu Thadeus Ruwaich kutoka jimbo la Mwanza na imeisha muda mfupi uliopita, Watu ni wengi, mvua ya wastani inapiga.

  [​IMG]
  Kanisa atakamozikwa mjini Bukoba.

  Chini ni picha za awali za ibada huko Kashozi.
  [​IMG]

  [​IMG]

  Previously: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/319226-mwili-wa-kardinali-rugambwa-kuzikwa-upya-huko-bukoba.html
   

  Attached Files:

 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  R.I.P cardinal Rugambwa.

  Askofu kilaini yupo kwenye maziko? asije akarudia ile kauli kuwa JK ni chaguo la Mungu.
   
 3. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Askofu Kilaini yupo hajapewa nafasi ya kungea,pamoja na Maaskofu wengine kutoka ndani na nje ya nchi,Maandamano ndo yanaanza
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,271
  Likes Received: 4,711
  Trophy Points: 280
  R.I.P Cardinal....
   
 6. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana akipewa maelekezo ya ofisa wa usalama barabarani katika kanisa la Kashozi kabla ya maandamano kuelekea kanisa kuu la Bukoba

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 7. Ngofilo

  Ngofilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwakweli pengo kama upo muonye kilaini mapema asiwachefue watanzania na kulidhalilisha tena kanisa...
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,725
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Pengo amesepa,ameogopa kwenda kumzika boss wake wa zamani!
   
 9. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  RIP Kardinali, bado sijaelewa ni kwa nini hukupenda kuzikwa katika kanisa lililokustahili; Kanisa kuu la Mt. Joseph - Dar es salaam.

  Utuombee kwa Mungu kwani ile amani kidogo uliyotuacha nayo sasa inapotea!
   
 10. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 763
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Thanks mdau kwa picha na updates!
   
 11. T

  Tetra JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,522
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Timiza yale yakupasayo kwa unyenyekevu kabla ya wakati wako,ili ktk wakati wa Mungu akupe zawadi yako..Hivyo ndivyo alivyofanya Rugambwa.
  R.I.P
   
 12. we gule

  we gule Senior Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani nami ningekuwepo,endelea kutujuza inapendeza
   
 13. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taswira ya Kanisa kuu la Rumuli kabla ya kuwasili kwa maandamano yenye mwili wa Kardnali Rugwambwa.Barabara imefungwa na watu wanazuiwa kuingia kwa sasa pengine mpaka maandamano yawasili.Waziri Mkuu Mizengo Pinda atawasili uwanja wa ndege wa Bukoba saa tisa alasiri.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 14. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,073
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 145
  mwenye picha zaidi tunaomba mtupie tuweze ona
   
 15. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASKOFU THADEUS RUWAICH: Kardinali Rugambwa ni Mkatoliki aliyeacha mifano hai itakayokumbukwa daima
   
 16. B

  Baba Mkwe Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante
   
 17. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  KAUDO

  kwani dar-bukoba kwa ndege masaa mangapi?kwani mida ya asb kama saa 4 msafara wake umenipita mitaa ya gymkhana club ,hoping alikuwa anaenda airport
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya magari yameanza kuwasili kutoka Kanisa la Kashozi, hiki ni kikundi cha wasanii kutoka nchini Rwanda.

  [​IMG]

  Kwa taarifa: Kituo Kikuu cha Polisi Bukoba kimeangaliana na Kanisa kuu la Bukoba utakapozikwa rasmi mwili wa Kardinali Rugambwa

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 19. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nziriye,

  Bukoba-Dar kwa ndege kubwa ni mwendo wa saa mbili na nusu angani.

  Taarifa iliyotolewa na ofisi ya RC ni kuwa Pinda atapokelewa saa tisa alasiri na kwenda moja kwa moja kanisani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya kupeleka mwili ya Kardinali Rugambwa katika kanisa kuu la Bukoba kutoka Kanisa la Kashozi yanaendelea.

  Wanaweza kuwasili baada ya saa moja kuanzia sasa kutokana na wingi wa watu waliojipanga barabarani huku magari yakienda taratibu sana.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

Loading...