TAFAKURI: Majibu mepesi ya Mkuu wa Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAFAKURI: Majibu mepesi ya Mkuu wa Nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fitinamwiko, Oct 6, 2012.

 1. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180

  Majibu ya Rais Kikwete huko Canada kama yalivyokopiwa toka IPP Media

  "Alipoulizwa kwa nini Serikali yake haionyeshi uchangamfu mkubwa kuhusu ujenzi wa barabara ya lami kupitia Kusini mwa Serengeti badala ya barabara hiyo kupita Kaskazini ndani ya Mbunga, kama inavyopendekezwa na baadhi ya wafadhili, Rais alijibu:

  “Tunakaribisha sana wazo na ujenzi wa barabara Kusini mwa Serengeti, lakini barabara hiyo haitakuwa jibu la matatizo ya usafiri kwa wakazi wa Kaskazini. Barabara ya Kusini itahudumia watu wa Kusini na wala siyo watu wa Kaskazini.”

  Kuhusu suala jingine ambalo linachochewa kwa njia nyingi na kwa kila namna kuwa Serikali inapora ardhi ya wakulima wadogo na kuitoa kwa wakulima wadogo ili kufanikisha mageuzi ya kilimo nchini, Rais alisema:

  “Huu ni upotoshaji mwingine wa mipango yetu ya maendeleo. Sijui upumbavu huu unatoka wapi? Tunchofanya sisi chini ya mipango yetu ya kuleta mageuzi katika kilimo cha Tanzania ni kumsaidia mkulima mdogo kwa kulinda na kuiendeleza ardhi yake ili kumwokoa na njaa, kumpunguzia umasikini na kuongeza usalama wake wa chakula. " Hakuna mkulima mdogo ambaye atanyang’anywa ardhi yake katika mipango yetu ili apewe mkulima mkubwa" Really Mr. President?

  1) Kusini na Kaskazini? mwandishi ametumia north and south maana sio mtanzania, ilikuwa wajibu wa JK kwenda deep japo kutaja japo mji mmoja kutoka either North or South. Rais alitakiwa aeleze umuhimu wa hiyo njia aliyoita North kwa maendeleo a Serikali kwa wakati huu kilinganisha ya south. Jk fell short to shine infront of white people
  2) Upumbavu? kulikuwa na umuhimu kutumia neno hili? Kama ulikuwa upumbavu, ni wajibu wa Rais kukanusha tuhuma, kwa kuelezea ukweli wa hali halisi na kusafisha sera za nchi yake. Matusi ni kuishiwa sera na ufinyu wa hoja
  3) Kweli hakuna mkulima aliyenyang'anywa ardhi na kupewa investor? Tumesoma wanavijiji wa Mbalali wakipigwa na kuuliwa kwa kuporwa ardhi yao.
  Naomba
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  That is our good,SMILING president!
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hakuulizwa kwanini hospitali kuu ya tanzania wa mama zetu na watoto wanalala sakafuni?
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asante ka kutuletea hii,unasema umei copy IPP sio?
   
 5. T

  Tewe JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Ni upepo tu utapita , Rais makini anakuja 2015 hakikisha unashiriki kumuweka mafarakani
   
 6. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Majibu ya rais dhaifu na mwenye kichwa cha nazi hayo!!
   
 7. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sijui nilie ila hiki ni kichekesho kama kila mara afanyavyo kweli rais walituchagulia na tunae hawajatushangaa tunaongozwaje na huyu
   
 8. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  sishangai sana, maana huyo jamaa ndo yupo hivyo. ningeshangaa kama asingejibu huu utumbo. huyu mshikaji ni kilaza kwelikweli. makosa ni yetu watanzania kumchagua, hivyo viatu havikuwa size yake. hope we won't do it again.
   
Loading...