Hatimaye Thomas Nyimbo akamilisha uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA Kidugala Njombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Thomas Nyimbo akamilisha uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA Kidugala Njombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UmtwaAlumbwagwe, Oct 7, 2012.

 1. U

  UmtwaAlumbwagwe Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lile zoezi la uzinduzi wa ofisi ya CDM Kidugala limekamilika kwa ufanisi mkubwa, watu wengi wamekabidhi kadi za CCM na kuchua za CDM akiwepo ADELINA CHAULA aliyekuwa katibu Wa UWT kata ya Kidugala. Nyimbo amewataka vijana kusimama imara kulinda haki, na amewataka wasiwe na maneno mengi wala vurugu na pale wanapoona haki inanyang'anywa wapeleke malalamiko yao kwa maandishi kwani serikali hufanya kazi kwa. Maandishi"serikali works on paper" tena barua hizo zipelekwe kwa dispatch ili mwisho wa siku wasiwageuke
   
 2. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ahsante kwa taarifa mkuu!


  Peoples..............power...........!
   
 3. M

  Mr jokes and serious Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peopleeêeee power 2nataka mabadiliko,
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hongereni sana.
   
 5. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tuchape kazi makanda, ila nasikitika sana, kiongozi wa chadema unayejiamini unashindwaje kushawishi wanachama wetu na kujenga ofisi za chama chetu?
   
 6. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila heri cdm ingawa m4c naona kama imesimama vile!
   
 7. Sanene

  Sanene Senior Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongereni saana ni jambo jema mmefanya
   
 8. B

  Bartazar JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 724
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  M4C sasa hivi inafanywa na watu wa kawaida kabisa, kuanzia viongozi ngazi ya matawi, kata na wilaya! Kwa hiyo huwezi kuisikia sana kwenye media!
   
 9. m

  mnyakaye Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hakuna kulala hadi kipenga cha kuanzisha hitimisho. peoplessssssssssssssssssssssss P
   
Loading...