Uchaguzi arusha ulija mizengwe na rushwa mchezo mchafu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi arusha ulija mizengwe na rushwa mchezo mchafu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Oct 7, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Jamani hakuna siku sintasahau kama siku uchaguzi wa ccm wilaya arusha,tulikuwja na mgombea wa mkutano mkuu Taifa,tumwita namba saba,kaka wa watu tulimpa kura za kishindo,lakini matokeo yake,kura zake alipewa mkuu wa mkoa,ili asiandikwe kwenye magazeti,LOBORA UNANGANGANIA NINI NDANI YA CCM?umekuwa mkimya,masikini nilikuangalia,ukiwa umenuna,LOBORA alikuwa na hoja ya ajira,kuhusu viwanda vilivyotolewa kwa wahuni wa kuhujumu uchumi na ajira,sasa huyu mkuu wa mkoa atakwenda kuwakilisha nini?kama si tunazuia mawazo yenye tija kwa wana wa arusha?kiltex imekufa,GENARALTIRE IMEKUFA,NAMWAMINI SANA LOBORA,Angetusemea huko juu,lobora,uwe makini ukweli wako ndio tabu yako,tulikupenda,mkuu wa mkoa apewa heshima ili asiandikwe.source mimi mwenyewe
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  ndo shida ya kuwa kwenye taasisi zenye kupenda magumashi kama sisiemu!!
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  andika kwa mhariri, uhuru, mzalendo au habari leo anagalau uanweza kusikilizwa
   
Loading...