[CCM na kurithishana] Tabora: Mrs Kigwangalla apeta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

[CCM na kurithishana] Tabora: Mrs Kigwangalla apeta!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Oct 7, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Maneno ya Dr. Kigwangala

  Shukrani ziwaendee wapiga kura wote wa Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa kwa kumchagua mke wangu kipenzi cha roho yangu DR. BAYOUM A. KiGWANGALLA kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Tabora. Pia nampongeza Mama Mwanne Mchemba kwa kushinda nafasi ya Kiti Mkoa! ahsanteni na hongereni sana kwa kazi znuu
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  .....................eti wakuu wa wilaya wanapewa nafasi za chama!!11 looooh, mara mjumbe wa NEC..
   
 3. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mwanne mchemba hana undugu na mwigulu
   
 4. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mwaine nchemba ni viumbe wawili tofauti kabisa, hakuna uhusiano wwte na mwigulu nchemba madelu.acha kupotosha
   
 5. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  waacheni wale nchi maana tabora ni janga kwa taifa wengi ni wachumia tumbo
   
 6. k

  kapya Senior Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo walijaa na nguo za kijani,wale wa mbali na mabegi mikononi,kosta kama mbili na bendera za kijani,niliona na ffu kama wanne wamekaa kwenye vibaraza vya kusomea wanafunzi wa tpsc,baadhi walionekana kuwa na aibu kutembea njiani may be they are shame with their part,
  comments
  "wengi walovaa nguo za kijani walionekana kutokuwa na furaha,nafikiri may be wapo kwa kuwa wanataka kula,wamelazimishwa au hawana la kufanya"
   
Loading...