Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya daraja Mbili Arusha...Chadema wako vizuri sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya daraja Mbili Arusha...Chadema wako vizuri sana

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Crashwise, Oct 7, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  View attachment 67443 Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akihutubia wananchi wa kaya ya daraja Mbili Jijini Arusha jana..
  View attachment 67444 Lema na dogo janja Nassari
  View attachment 67445 Lema akimkabidhi kadi ya uanachama Mzee Zakaria aliehamia Chadema kutoka CCM
  Wanaoshuhudia ni mgombea wa chama Kata ya Daraja Mbili Prosper Msofe, na Mwenyekiti wa Vijana Chadema Arusha, Ephata Nanyaro (mwenye nguo nyeusi)
  View attachment 67446
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkutano wa kata wa cdm unaufunika mkutano wa kitaifa wa Chama cha Udini na Fujo!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu mleta mada thread kama hii ipo tangu jana na picha zipo sioni haja ya wewe kuanzisha thread mpya wakati Mungi alishaleta tangu jana saa nane..kama kuna jipya jazi tu huko kwa Mungi..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hakuna kulala mpaka kieleweke! Viva CHADEMA
   
 5. M

  MKOMBOZI1 Senior Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Big up CDM.
   
 6. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu cashwise nahisi kama mleta thread anajambo jipya la tathmini kuhusu uzinduzi wa kampeni sio taarifa ya uwepo wa uzinduzi hii ni kitathminitathmini zaidi so nothing wrong the honorable Cashwise
   
 7. D

  Diga Diga Senior Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabwela, you mean CUF (ama "KAFU") a.k.a Chama cha Wananchi Ngangari, au?
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Diga Diga ni CUF
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkutano wa cuf wa kitaifa uliohudhuriwa na viongozi wa kitaifa hapa Arusha ulitangazwa kwa zaidi ya wiki mbili, ukahudhuriwa na watu kama 700 hivi, ambapo watu 500 wametoka Dar.
   
 10. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Magamc hawapon
   
 11. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Yaap! Hapo ndipo utakapo tambua nguvu ya umma iliposimamia.
   
Loading...