Thomas Nyimbo Kufungua tawi la CHADEMA Kidugala Njombe leo

May 24, 2012
54
10
Leo Jumapili Mlezi wa chama CDM kanda ya nyanda za juu kusini Ndugu Thomas Nyimbo anatarajiwa kufungua ofisi ya CDM Kidugala tawi la Mkeha. Jana jioni nimefika hapa Kidugala nikakuta watu wengi vijana kwa wazee wakikamilisha maandalizi kwa kufanya usafi nje ya ofisi hiyo. Kidugala ilikuwa ni ngome ya CCM lakini sasa watu wamefunguka sana hata baadhi ya viongozi Wa UWT wamevua magamba. Nitawajuzeni baadaye yanayojiri.
 
Safi sana!! cha mhimu ni watu kujua haki zao na kuachana na tabia ya kuogopa viongozi wao tena waliowachagua. Kama kiongozi anachaguliwa harafu anajifanya hayupo pamoja na waliomchagua, ya nini kuendelea naye?
 
Nyimbo namkubali sana. Yuko busy mno anajenga chama vjjn kabisa. Tena sina hakika kama anapata fungu toka CDM makao makuu nadhani anajitolea, nimepita Ilembula pale na vjj vichache vya karibu watu full knowledge ya mabadiliko na mabendera
 
Leo Jumapili Mlezi wa chama CDM kanda ya nyanda za juu kusini Ndugu Thomas Nyimbo anatarajiwa kufungua ofisi ya CDM Kidugala tawi la Mkeha. Jana jioni nimefika hapa Kidugala nikakuta watu wengi vijana kwa wazee wakikamilisha maandalizi kwa kufanya usafi nje ya ofisi hiyo. Kidugala ilikuwa ni ngome ya CCM lakini sasa watu wamefunguka sana hata baadhi ya viongozi Wa UWT wamevua magamba. Nitawajuzeni baadaye yanayojiri.

Umtwa, nalikumbuka "JEMBE" hilo la kutoka kijiji cha VANGUTWA, mimi nathubutu kuliita JIWE WALILOLIKATAA CCM LIMEKUA...........! Pamoja sana mtu wangu kila lakheri watu wa Kidugala ukombozi umefika kijijini kwenu!
 
Huyu si ndo yule aliyetamka kuwa jeshi litatumia nguvu hata kama Chadema itashinda 2010...Wanini kwetu....kama ni yeye naomba CDM msimkubali...mamluki hafai
 
DAAAH MKEHA HUKO NAKUPATA KAKA, NILIKUWAMWANAFUNZI SEMINARY KIDUGAL HAPO ADVANCE MIKA YA 2003, KANYAGA TWENDE KIDUGALA YOTE HUKO HADI IGONDE LAMAFUTA, MASAULWA nakadhalika, NAMPATA HUYO MZEE, ALIKUWA AKIJA KATIKA MAHAFALI HAPO SEMINARY HANAGA MASIHALA HUYO MZEE NYIMBO, NA ANAJIAMINI SANA, SIJUI WALIPISHANA NINI NA NYINYIEMU HADI AKAWATOSA, SAFI SANA.. HUKO VIJIJINI NDIKO PANAPOTAKIWA KUELIMISHWA KWA NGUVU SANA USIKU NA MCHANA... MUNGU WABARIKI WOOTE, TOGERHER WE CAN.
 
Msiishie Kidugala tu nendeni hata Igwachanya is a potential area to tap more CHADEMA supporters.Nilikuwa huko wakati wa likizo nilishuhudia CCM wanaandaa ofisi ya katibu wao wa wilaya mpya ya Wanging'ombe hapo kijijini. Kwa sasa Mwenyekiti wa CHADEMA (Dick Kilamlya) na katibu wake Mamaluvanda wanahitaji support kubwa sana from above for them to execute objectively the principles of CHADEMA. Mpulihe nyevaa va Nyagava nu Nyimbo!!! Let CHADEMA wake up the giant sleeping Bena. Aluta continua!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
DAAAH MKEHA HUKO NAKUPATA KAKA, NILIKUWAMWANAFUNZI SEMINARY KIDUGAL HAPO ADVANCE MIKA YA 2003, KANYAGA TWENDE KIDUGALA YOTE HUKO HADI IGONDE LAMAFUTA, MASAULWA nakadhalika, NAMPATA HUYO MZEE, ALIKUWA AKIJA KATIKA MAHAFALI HAPO SEMINARY HANAGA MASIHALA HUYO MZEE NYIMBO, NA ANAJIAMINI SANA, SIJUI WALIPISHANA NINI NA NYINYIEMU HADI AKAWATOSA, SAFI SANA.. HUKO VIJIJINI NDIKO PANAPOTAKIWA KUELIMISHWA KWA NGUVU SANA USIKU NA MCHANA... MUNGU WABARIKI WOOTE, TOGERHER WE CAN.
We jamaa tutafutane kwenye PM...Kuna kitu umenigusa sana kwenye mchango wako. commited
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom