Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka huu hakuna mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim ambayo hutolewa kwa viongozi wa Afrika walioonyesha uongozi bora Tuzo hiyo ya dola milioni tatu nukta mbili, hutolewa kwa kiongozi wa Afrika...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Nimeona siyo vibaya watanganyika wenzangu nikiwaonyesha baadhi ya vipeperushi vilivyoko Unguja(Stone Town) karibu kila kona nilikutana na ujumbe huu...Je watanganyika mnasemaje...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Tuzo ya Mo Ibrahim ambayo imekuwa ikitolewa kwa viongozi wastaafu wa kiafrika waliofanya vizuri katika Utawala bora kwa mara nyingine tena mwaka huu imekosa mshindi. My Take Je Afrika haina...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkutano wa CUF wa kampeni kata ya Daraja mbili-Arusha, mtaa wa relini karibu na Blue House. Hapo wakimnadi mgombea.
5 Reactions
85 Replies
7K Views
Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
​Nadhani imefika mahala CHADEMA ikatumia njia nyigine kufikia watu..Walianza na Choper,na walifanikiwa sana katika hili mwaka 2005,2010 na hata 2015 itazidi kuwasaidia,na hasa baada ya sasa...
15 Reactions
43 Replies
5K Views
Wanabodi Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Mbatia alipozungumza na wandishi wa habari ofisini kutokana na yaliyotekea pia huko mbagala. Jukumu la kudumisha umoja wetu na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hata hivyo, kifo cha Barlow kimetokea siku moja tu baada ya kutoa kauli ya kutatanisha juu ya tukio la polisi kummiminia risasi Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Mwanza, Albert Buchafwe, kwamba aliingia...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Jana nilikutana na kada wa ccm kutoka kanda ya ziwa ni rafiki yangu sana, ni mmoja kati ya wanamtandao wa 2005 waliomuweka JK magogoni. Ni mtulivu anajua siasa za kati ni non biased figure, baada...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Hivi ni sahihi kweli kwa ccm kuwaelekeza wanachama wake namna ya kutoa maoni kuhusu katiba mpya? ktk pitapita zangu nilikutana na viongozi fulani wa chama hicho wakiwa na fomu fulani yenye maoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hali sii nzuri TZ,mauaji ya mara kwa mara kama ya Mwandishi wa habari,Kamanda kule Mwanza,Watu kujichukulia sheria mkononi na kuanza kuchoma makanisa N.K.Ki msingi nji nyingi zenye machafuko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF napendekeza kuwepo na maandamano ya vyama vyote vya siasa kutokea Mnazi Mmoja hadi Uwanja wa Taifa. Maandamano hayo yaongozwe na CCM, CHADEMA, CUF, NCCR, UDP, na vyama vingine. Wanachama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hali tuliyonayo sasa hivi ya udini Tanzania itageuka kuwa Nigeria muda si mrefu. Radio imani na CD za chuki zinazosambazwa kwa ajili ya chuki dhidi ya dini zingine hasa wakristu ni dalili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Timu ya kampeni ya chadema iliyo piga kambi katani Lwenzera chini ya mwenyekiti wa jimbo kamanda Mabula Kachoji kwa takribani wiki 2 sasa,imesababisha ccm kupotezana na kukoswa mwelekeo na...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Waziri Lukuvi amenukuliwa na Mwananchi leo kuwa Serikali itahakikisha wauwaji wa Kamanda RPC Barlow wanakamatwa. Kauli yake imenifariji sana na inaonyesha kuwa inao uwezo na itautumia kuwashika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF, Jana nilikuwa kwenye vijiwe baada ya kazi ya kutoa maoni ya katiba kwa viongozi iliyofanyika jana ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nikapata taarifa za uhakika kwamba Mkuuwa M/Mkoa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zito amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa katika kituo cha Polisi wakati wa kampeni. Amesomewa mashitaka, amekanusha na amedhaminiwa na mtu mmoja hadi kesi...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
mwl. nyerere ametawala Tanzania kwa takriban miaka 24, lakini nimekuwa nikijiuliza, hivi ni kwa nini vyombo vya habari huwa vinatuonyesha hotuba alizotoa baada ya kung'atuka kutoka madarakani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampeni za uchaguzi wa 2010 zilipoanza kwenda kombo kwa upande, CCM waliona ni bora kuwagawa wapiga kura kwa kutumia DINI. Kikwete akaanza kupewa sifa ya Uislamu safi na misikiti ikatumika...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Baada ya kuangushwa uchaguzi ameamua kufunga. kasema anaye haribu ccm ni Lowasa, chenge, bashe na vedasto mathayo. Amewataka wang'atuke kwa manufaa ya ccm. Kama wasipo fanya hivyo basi Rais atumie...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…