Mbunge wetu Olemedeye tafadhali tutembelee wapiga kura wako Arumeru-magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wetu Olemedeye tafadhali tutembelee wapiga kura wako Arumeru-magharibi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olaigwanani lang, Oct 11, 2012.

 1. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo mustakabali wako kisisasa arumeru ndoo utaishia hapaa......,matatizo ni mengi sana jimbono kwako....!
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Si ni naibu waziri huyu au nimekosea
  msubiri mkuu bado anafanya mchanganuo wa matatizo yetu na kufanya mchakato wa kuyatatua pamoja na kufanya upembuzi yakinifu kuhakikisha anapata uwezo wa kuyatatua
  na atarudi mwaka 2015 kuomba mumchagua akamalizie mchakato wa kumtafuta mfadhili wa kuyatatua
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho nilimsikia akiwa mahali anahutubia eti alitaka kuhongwa hela nyingi sana,sikumbuki figure na wawekezaji fulani akakataa!!
  Angepokea tu hizo hela kuzileta jimboni kwake angalau wananchi wamshukuru!!
  Mkimuona mkumbusheni,maji nayo yameadimika,barabara kwa mfano ya Iboru,ni wakati muafaka sasa aweke hata "kalami".
  Kama haelewielewi,wakumbusheni M4C wapite hayo maeneo,kuna mavuno
   
 4. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo mustakabali wako kisisasa arumeru ndoo utaishia hapaa......,matatizo ni mengi sana jimbono kwako....!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  Muangalie mfano kwa wenzenu wa Arumeru Mashariki.....shauri zenu....Medeye yupo busy.....
   
 6. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 43,655
  Likes Received: 10,067
  Trophy Points: 280
  yupo uhamishoni DSM. Ombeni M4C iwaletee mpiganaji wa ukweli.
   
 7. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo mustakabali wako kisisasa arumeru ndoo utaishia hapaa......,matatizo ni mengi sana jimbono kwako....!
   
 8. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 758
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hana jipya hilo gamba ngoja nitamngoa 2015,niko cdm na ashukuru lowasa kumsaidia kuiba kura ole kisambu ndo alishinda
   
 9. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo mustakabali wako kisisasa arumeru ndoo utaishia hapaa......,matatizo ni mengi sana jimboni kwako....!
   
 10. l

  lengijave Senior Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ole medeye ametuangusha sana wakazi wa arumeru magharibi sasa tumeamua hatuta mpa kura 2015 hata aje na hongo zake,mi namshangaa hamuigi mwenzake Lowassa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!shame on you ole
   
 11. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anachuma vyake mapema mapema hana habari na watu wa a/mangaribi kwa hiyo mchague mbivu au mbichi.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huyu Mbunge ni janga kwa Wilaya lengwa!

  Huyu kwa ujumla mambo ya Ubunge atusikiaga tu kwenye mikutano mikubwa.
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hapa kwa kweli watu wa Arumeru,wameangukia pua!!
  Sasa muamue kweli kwenye sanduku la kura 2015!!
   
 14. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,271
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Muacheni akae hukohuko. Gibson ndo mbunge wenu 2015
   
 15. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Si mlichukua kofia, t-shirt na kanga!! Mnataka nini zaidi?
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,915
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Goodluck Ole Medeye = Elisa Mollel
   
 17. b

  bdo JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,679
  Likes Received: 1,558
  Trophy Points: 280
  ahadi ni deni vumilieni kidgo maana muda wa ubunge bado upo
   
 18. S

  Sanare S Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo kazi kwa kweli, sijui siku akitaka kugombea ataanzia wapi, hali ni mbaya sana kwake kisiasa.
   
 19. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi nimeshakata tamaa na hawa wanasiasa hasa wanaoliongoza jimbo la arumeru magharibi...............
  1.yaaani maji yanatolewa hapo mlima meru kwenda mpaka monduli lakini wakazi wa a/magharibi wao hawana maji?viongozi wetu(mbunge,halmashauri ya arusha,n.k) wao halioni hili?
  2.barabara zetu za ndani hamna kitu,utadhani halmashauri haikusanyi kodi.
  3.Shule zinazoitwa za kata ndio usiseme...........
  Ndugu zangu mimi sio mwanasiasa ila nalazimika kufuatilia mambo ya siasa kwa sababu ninaamini umaskini huu umesababishwa na hawa wanasiasa.........juzi niliwaza namna ya kuwatafuta wadau(wakazi wa jimbo hili na wengineo) ili tujadili namna kusaidia jimbo hili kuliko kuacha kuendelea kusubiri kuwategemea wanasiasa hawa....naomba tuungane kupitia https://www.facebook.com/#!/groups/491764197513890/
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Mimi namshangaa mleta mada! Watu wa Arumeru hawakumchagua huyu jamaa. Alitangazwa na tume chini ya usimamizi wa EL baada ya kuchakachua kura za Olekisambu wa cdm. Kwahiyo mleta mada kama alimchagua, na yeye ni sehemu ya tatizo!
   
Loading...