Tanzania itageuka kuwa Nigeria muda si mrefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania itageuka kuwa Nigeria muda si mrefu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakende, Oct 15, 2012.

 1. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,734
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa hali tuliyonayo sasa hivi ya udini Tanzania itageuka kuwa Nigeria muda si mrefu. Radio imani na CD za chuki zinazosambazwa kwa ajili ya chuki dhidi ya dini zingine hasa wakristu ni dalili tosha kwamba sasa inabidi tukae mkao wa vita.

  Kwa hii kasi ya Radio imani na shehe Ponda tuome mungu serikali ijayo mwaka 2015 iwe imara katika kutafuta suluhisho za hali ilivyo sasa

  Ni jambo la hatari kuona serikali imekaa kimya huku wakija hali inakuwa mbaya siku hadi siku, serikali imeshindwa kukaa na akina Ponda na Radio imani na kuwahoji shida yao ni nini? hivyo kuweza kuchukua hatua stahiki.

  Ni jambo la ajabu kuona udini na chuki vinachochewa adharani: Mfano ukienda kwenye mihadhara ya waislam, asilimia 90 inatumika kutukana dini ya Kikristo lakini hakuna hatua inachukuliwa.

  Waislam wamejifunza sasa kuwa wakristu ni wapole, serikali ni pole kwa hiyo wanaweza kufanya jambo lolote

  Waislam wanadai kuonewa kila kona ya dunia mfano: Mombasa Kenya, Mali, Nigeria na maeneo mengine duniani ndo maana makundi ya kigaidi yamekuja kasi.

  Waislam wa Tanzania bado kidogo wanatafuta confidence ya kuunda kikundi maalum cha kivita, kama hakuna hatua inachukuliwa Tanzania itakuwa sehemu hatari kuishi, tegemea mtu kulipuka muda wowote kwenye daladala
   
 2. s

  sverige JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kakojoe ukalale
   
 3. S

  Shelisheli Senior Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jibu hoja kwa hoja sio matusi rahisi rahisi. a great thinker??!!!
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mwandishi Mmoja akiitwa Antony Ngaiza aliandika Makala 1992 kwamba Tanzania itaingia katika Machafuko ya Kidini.
  Mwandishi alinukuu uchambuzi wa kijasusi wa shirika la kipelelezi la Marekani CIA wakati huo, ambapo Tanzania iliwekwa pamoja na Nigeria.

  Ni Miaka karibu ishirini imepita tangu utabiri huo, lakini naona majasusi hao waliona mbali. Tayari Tanzania imeingia katika machafuko ya kidini. Si future tense tena.

  Na mimi ninavyoona njia sahihi siyo kuwa passive kwa hali iliyopo. Zamani niliwahi kusikia neno moja maarufu wakati wa Vita baridi kati ya mataifa ya magharibi na Mashariki; neno lenyewe ni Deterrence. Unasoma adui ana nguvu ipi, unaandaa mazingira ya kumchapa. Fullstop!

  Hawa watu wakiachiwa wataleta shida sana...


   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Redio Imaan inakingiwa kifua na nani?
  Usalama wa Taifa wanafanya kazi gani?
  TCRA wanafanya kazi gani?
   
 6. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Be strong and of a good courage, fear not, nor be afraid of them: for the Lord thy God, he it is that doth go with thee; he will not fail thee, nor forsake thee.
   
Loading...