Nccr: Kutatua mgogoro wa udini rais akutane na viongozi wa dini. We unashauri nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nccr: Kutatua mgogoro wa udini rais akutane na viongozi wa dini. We unashauri nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Karibuni masijala, Oct 15, 2012.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanabodi
  Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Mbatia alipozungumza na wandishi wa habari ofisini kutokana na yaliyotekea pia huko mbagala. Jukumu la kudumisha umoja wetu na amani katika nyumba yetu kwa kuziba nyufa ya udini inayotaka kubomoa Tanzania yetu ni letu sisi sote.
  Wanajamii forums hebu tutoe ushauri, maoni kutatua hili kwa kujibu swali hili nini kifanyike kuepuka machafuko ya udini.

  NCCR Wameshauri Rais akae na viongoz wa dini, Vyama vingine mnasemaje, Viongozi wa Dini, wandishi wa habari na Wanajamii kupitia jamvi hili litakalowafikishia ushauri na maoini yako.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Suluhisho pekee la kuondoa udini nchini ni kwamba JK ajiuzulu urais kwani ni yeye aliyeipanda na kuimwagilia mbegu ya udini nchini.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na hiyo ifanyike baada ya Mahakama kutoa adhabu kali kwa wote watakaoonekana kuhusika kwa namna moja au nyngne katika kusababisha uhalifu ule.
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Huyu mwenyekiti wa NCCR uwezo wake wa kufikiri ni kila kitu kinachotokea nchini yeye anakuja kusema wahusika wakutane na viongozi hana kitu kingine tofauti.
  Kwa mfano;
  Mauaji ya Mwangosi(Ushauri wake ni Polisi, Tendwa na viongozi wa vyama vya siasa wakutane)
   
 5. K

  Kahamba Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza tukubaliane kwamba hakuna mgogoro wa udini. Maana ukizungumzia mgogoro inamaanisha kuna pande mbili zinazozozana. Lakini hapa sivyo. Tunaona upande mmoja unaofanya fujo dhidi ya upande mwingine. Ni uhalifu.

  Pili, Kikwete anawajibika moja kwa moja na vurugu za kidini zinazotokea kwa sababu yeye pamoja na chama chake ndiyo walyoeneza propaganda za udini wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu hasa 2010 kama kete ya kisiasa baada ya kuona wanazidiwa nguvu. Kinachotokea ni kazi ya mikono yake michafu. Arudi msikitini, atete na wenzake, awaombe radhi kwa kuwapotosha. Basi!!
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hii nchi inajiendesha haina rais,mungu atunusuru kwa kweli,rais ni dhaifu kama alivyosema JOHN MNYIKA kuwa tunafika hapa kwasababu ya upumbavu wa ccm na udhaifu wa rais kikwete.dhaifu kabisa huyu mtu.
   
 7. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nchi hii haina misingi ya kitaifa tumekua tuki dharauliana sana kufikia hatua ya kuto aminiana kabisa hasa kwa kisingizio cha dini.............. HITIMISHO ni kuweka misingi ya taifa
   
 8. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa ushauri tukisema fujo au hata mgogoro udini unatunyemelea hebu nisaidie ku edit iwe Fujo au machafuko
   
 9. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Kwani hajawahi kukutana na viongozi wa dini toka awe Rais? Jibu ni kuwa amewahi. Mbona hali ya vurugu za kidini ndiyo inazidi kuwa mbaya?
  Propaganda na kuendekeza siasa za udini baada ya kuishiwa hoja kwenye kampeni za 2010 ndio matokeo yake haya. Na bado.
   
 10. Heavy equipment

  Heavy equipment JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 930
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 80
  Tatizo lililopo ni JK kuwa chanzo cha matatizo, wanaochoma makanisa wanaendelea kucheka hata wakikamatwa wataandama na wataachiwa, dini gani inachoma nyumba kuabudia badala ya kuongea na MUNGU wao ili matatizo yao yaishe, nashauri JK na lipumba wakutane wajue walichokipandikiza kinazaa nini?
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tuna wizara kamili inayohusika na mahusiano ya jamii na waziri wake ni Steven Wassira. Analipwa mshahara ili kusimamia mahusiano mazuri ya jamii, sasa ningetaka kusikia kutoka kwake majibu ya haya maswali:

  1. Ni mambo gani muhimu yanatakiwa yawepo/yadimishwe ili mahusiano mazuri ya jamii yawepo? Na Wizara yake imefanya nini kuhakikisha hayo mambo yanatekelezwa?

  2. Kwanini makanisa yamechomwa? Hivi ni kweli tatizo ni mabishano kati ya watoto wawili na mmoja wao kukojelea kuran?

  3. Vurugu za Mbagala zingeweza kuzuiwa? Kama jibu ni ndiyo kwa vipi na kwanini hazikuiwa. Na kama jibu ni hapana, je kuna umuhimu wa yeye na wizara yake kuendelea kuwepo kama hawawezi kuwa na mipango mizuri ya kuzuia mambo ya aibu kama hayo ya Mbagala?

  4. Nini tathmini yake (Steven Wassira) juu ya mahubiri ya Radio Imaan? Yanadumisha mahusiano mazuri ya jamii au yanajenga chuki?
   
 12. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo kwenye RED, nadhani ni vyema sana NCCR wamekuwa wa kwanza kusema haya, ingekuwa CHADEMA wangeanza kusema ni chama cha kikristo ndio maana wanatetea uchomaji wa makanisa,
   
 13. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kwani kuna mgogoro kati ya dini gani na dini gani??

  Mgogoro umeanza lini? na watu wa dini hizo mbili wamefanyiana nini kuonyesha kuwa kweli dini hii na nyingini zinapambana?

  Kama hakuna hilo, kwanini akutane na viongozi wa dini hizo?

  Mie nadhani anatakiwa kuhakikisha ile dini inayoleta chokochoko inadhibitiwa au wale watu wa dinii inayodaiwa kuleta chokochoko wanadhibitiwa kwa mujibu wa sheria. Basi!

  Binafsi, sioni kama kuna mgogoro baina ya dini moja na nyingine.
   
 14. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Askofu kilaini alisema JK ni chaguo la mungu.Faida za kuhongwa khanga,kofia,vitenge,T-shirt,sukari,mchele,pilau mtazilipa.
   
 15. d

  delako JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Din yetu tunaamin hvyo?Ukikojolea msahaf au kuudhihak utageuka nyoka/panya y tusiwape muda kuwa hvyo?Huyo nawe ndo walewale wa vt maalum km g rwakatale!....Wote wanaoleta udin waukumiwe na jamhur as kosa la jinai!!
   
 16. Nipisheni

  Nipisheni Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyumba yuko na Kabus kule Oman,anakula bata,unategemea nini.Ushauri wangu:simpigii kura muislamu yoyote hapa duniani pili:Nashauri Mkapa agombee miaka 15 badala ya kumi.
   
 17. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,314
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  KITU HIKI SI CHA LEO,MI NAFIKILI CHOKOx2 HIZI ZA UDINI ZILILETWA NA SISI SOTE TULIPOBADILI UTARATIBU WA KUTEUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI KATIKA NGAZI YA URAISI KWA MAANA YA TZ BARA NA ZNZ.CHOKOX2 HIZI ZISINGE TOKEA IWAPO BAADA YA RAISI MKAPA KUTOKA IKULU ANGEFUATIWA NA RAIS KUTOKA ZNZ.NIONAVYO HAPA CHOKOx2 HIZI NI DALILI MBAYA KABISA KATIKA TANZANIA YETU NA IWAPO AZITASHUGHULIKIWA MUUNGANO WETU UTAKUWA HATARINI.KWANI KWA SASA WATANZANIA WAMECHOSHWA NA MAMBO HAYA AMBAYO KUNA WAKATI YANABADILIKA NA KUWA YA UPORAJI,UCHOMAJI WA MAKANISA N.K. AMBAVYO VYOTE HIVI VINAFICHA UKWELI KWAMBA JE HIZI NI CHOKOX2 ZA DINI? AMA NI WAHUNI?.JAMANI ALAFU KWANINI NI ZNZ NA DSM TU NA SI KIGOMA AU RUKWA? HAPA PANA KITU NYUMA YA PAZIA,WE NEED TO CHECK IT BEFORE DIZASTA.
   
 18. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Umandika vizuri mno.Udini as long as unaviharibia vyama vya upinzani,serikali na CCM waliamua kwa makusudi kuupalilia.Hili halina kificho. Kama ambavyo hawakujali zilikotoka pesa za kuwaingiza Ikulu ndivyo hivyo hivyo waliweka pamba masikioni siasa za kidini zikipandikizwa.Tujiandae kwani ishara ishatolewa.
   
 19. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
 20. a

  amocha Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu kama nyinyi nihatari sana,unafikiri dini kumchagua mkristo mwenzio ndio suluhu?narrow mind
   
Loading...