Maoni kuhusu mabadiliko ya katiba

engiribo

New Member
Sep 26, 2012
1
0
Hivi ni sahihi kweli kwa ccm kuwaelekeza wanachama wake namna ya kutoa maoni kuhusu katiba mpya? ktk pitapita zangu nilikutana na viongozi fulani wa chama hicho wakiwa na fomu fulani yenye maoni kama 22 hv yakionesha kwamba ccm haipo tayari kukubaliiana na mabadiliko ya katiba yetu,kwa hali hiyo inawashawishi wanachama wake kutoa maoni yanayoendana na katiba iliyopo.nilimnukuu mmoja kati ya viongozi hao akisema
''tukikubali mabadiliko ya katiba basi huo ndio mwisho wa chama chetu''
wanasema wanaotaka mabadiliko hayo ni chadema na sio ccm.tuweni macho watanzania kwani tanzania mpya haitapatilkana bila mabadiliko ya kweli ambayo huanzia kwetu tulio na nia dhabiti.let us be the source of the change we want to see.
 
siku zote siasa ni mchezo mchafu utawezaje kuwambia watu wachangie kuhusu mabadiliko ya katiba wakati sa hata ile ya mwanzo hawaijui wala kuiona kwa watz wengi so how comes?
 
Back
Top Bottom