Kilimanjaro: Gama aagiza CCM ipandikize mamluki CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro: Gama aagiza CCM ipandikize mamluki CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnduoeye, Oct 15, 2012.

 1. m

  mnduoeye Senior Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Jana nilikuwa kwenye vijiwe baada ya kazi ya kutoa maoni ya katiba kwa viongozi iliyofanyika jana ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nikapata taarifa za uhakika kwamba Mkuuwa M/Mkoa amewaagiza Wana CCM popote walipo Kilimanjaro kuwa wahakikishe kuwa wanapenyeza kadri ya uwezo wao mamluki kuingia CDM wakati wa chaguzi zao zitakazofanyika baadaye hasa za ngazi za kata.

  Zaidi ya hapo ameagiza wahakikishe kwa garama yeyote madiwani wa Manispaa ya Moshi wawindwe hata katika maisha yao ya binafsi ili watafutiwe kashfa hata za kubambikizwa ili kuuwachafua mbele ya jamii.Inaonekana mbinu hii ndio iliyobakia sasa kwa CCM kwani katika mikutano yao hata anayoitisha Mkuu huyo wa Mkoa watu hawahudhurii na mfano ni ule uliofanyika kata ya Bondeni na ilibidi aairishe kwa kisingzio kuwa huwa anahutubia masaa matatu hiyo muda ni mdogo baada ya kucheleweshwa ili angalau wawepo wachche kwenye mkutano.

  Ni rai yangu kwa viongozi wa cdm MSIWAAMINI WACHACHE WALIOJINADI WAMEHAMA CCM, mkawapa madaraka katika kata zetu. Hao ndio wameagizwa wawavuruge kwani hali yenu kichama inatishia uhai wa CCM mbele ya safari. Pili madiwani wa CDM hasa manispaa jihadharini sana kuna watu wameagizwa wawachafue kwa gharama yeyote hasa kuwapa maudhi yatakayopelekea ugomvi ili mchafuke mbele ya jamii.

  Ninawaambia kwa hakika haya yamepangwa msipuuze hata kidogo.
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ndio kazi yake hiyo kama Mkuu wa mkoa .....hichi cheo kife sasa
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kachelewa kwani wanaweza jikuta wakiwatuma nyumbani wale wa CDM.Kwani tayarai CDM inao kitaifa kabisa ndani ya CCM.Sasa hao wadogo watajikuta wakiwatuma nyumbani a.k.a wanwasaidia kuleta taarifa kwa uhuru zaidi.
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mnaua jamaa ametokea wapi hadi amekuwa hapo?
  Mwenye CV yake aweke.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!! kwa limwili lile atakuwa hana pressure au kisukari? kama anavyo vimepanda
   
 6. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa taarifa.Lisemalo lipo tusilipuuzie.
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  yule bonge needs to drop some pounds..he is too fat to fight this battle!!!
   
 8. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naamini katika kusanyiko hilo la kutoa maoni juu ya katiba mpya kutakuwa pia na wananchi waliopendekeza kuondolewa kwa vyeo vya ma RC na ma DC kwenye katiba mpya..
   
 9. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  KWAKWELI HIZO MBINU ZAO BORA WANGEZIPANGA MKOA AU MJI MWINGINE NA SI MOSHI KWENYE WATU WENYE UPEO MKUBWA WA KUTAFAKARI NA MOSHI NDIO MJII ULIOKUWA WA KWANZA KTK HISTORIA YA SIASA TANZANIA KUKIKATAA CCM, TANGU KUANZISHWA KWA MFUMO WA VYAMA VINGI 1992, HADI SASA CCM HAWANA CHAO MOSHI.

  Hizo mbinu hata wasijaribu maana hawatafanikiwa.

  Na ninasikia CCM wamepanga kumsimamisha kale kamama kao kazamani kanakoitwa MAMA MINDE eti aje agombee ubunge MOSHI MJINI 2015.

  Nitafurahi sana kama atasimama yeye maana CHADEMA tutapita bila kupingwa 2015 Moshi.
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kwani Shibuda na Nyepesi hawatoshi?
   
 11. mathewa

  mathewa JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 420
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  mbinu zakizamani hizo. wamechelewa sana. ila cdm wawe makini na watu kutoka ccm. maana wao wakiona wanashindwa wanaanza kutumia hata vyombo vya dola
   
 12. B

  BigMan JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  ni udaku huo source siyo ya uhakika,unajaribu kujenga mazingira ya kuwatoa madiwani waliotaka kuchota milioni 200 za kwenda kujifunza usafi Rwanda
   
Loading...