syprian msiba mgombea wa ccm Bunda afunguka kwa Rais kikwete

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Baada ya kuangushwa uchaguzi ameamua kufunga. kasema anaye haribu ccm ni Lowasa, chenge, bashe na vedasto mathayo. Amewataka wang'atuke kwa manufaa ya ccm. Kama wasipo fanya hivyo basi Rais atumie mamraka aliyo nayo kuwawajibisha. Amewashutumu kununua wapiga kula kwa kuwapa rushwa. je atafanikiwa kumshawishi Rais achukue hatua?. Hatua hiyo imekuja baada ya rais kuwataka watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii kuwataja wanao jihusisha kutoa na kupoke rushwa.mia
 
kuna mtu mwingine muhimu hapo hajamtaja ambapo inafanya hoja hii kukosa nguvu!
 
Baada ya kuangushwa uchaguzi ameamua kufunga. kasema anaye haribu ccm ni Lowasa, chenge, bashe na vedasto mathayo. Amewataka wang'atuke kwa manufaa ya ccm. Kama wasipo fanya hivyo basi Rais atumie mamraka aliyo nayo kuwawajibisha. Amewashutumu kununua wapiga kula kwa kuwapa rushwa. je atafanikiwa kumshawishi Rais achukue hatua?. Hatua hiyo imekuja baada ya rais kuwataka watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii kuwataja wanao jihusisha kutoa na kupoke rushwa.mia

Mtoa Rushwa wa kwanza ni JK aliingia madarakani kwa biliion 20 na mtandao wa boyz 2 men.
 
Aisee huyo Cyprian Musiba ni kilaza sana, sijapata kuona, siasa zake za kujipendekeza na hana upeo wa uongozi, ni wale makanjanja na wachumia tumbo.
 
Nilimwona Clouds Tv jana jioni akiwataja hawa jamaa. Angejua walishatajwa sana na hakuna kilichofanyika, angejikalia kimya tu.
 
Kila msiba una sababu. Watu wakishindwa lazima walete sababu hata kama wanajua hawana mvuto kisiasa kuanzia ndani ya familia zao. Bwana msiba umeshindwa, jipange upya, acha kuleta sababu za sungura. Kikwete ameshindwa kumfukuza lowassa kwa sababu hakuna mwenye ushahidi kuwa lowassa anaharibu chama, angalia usije ukatupwa nje ya chama wewe mwenyewe.
 
Mbona yeye hajasema anatumika na ridhiwani kikwete asitafute pa kutokea mjini hapa!!!!!!!!
 
Aendelee kushangilia arsenal inaweza kumpa furaha, kama anamtegemea Nape ndo ajue sasa ana nguvu kiasi gani? ngoma inogire
 
Excuse me! who is she/he???
kuna kilaza mmoja alikuwa mtangazaji wa channel ten na magic fm(kama sio times fm),hata alipokuwa mtangazaji nilikuwa najiuliza alipataje kazi maana upeo wake ni mdogo mno.
 
Nashkru sana maaana uzi umeza kamahuyo mtu tunamfahamu wote, much thanks.
 
excuse me, ccm hivi ndivyo hilivyo kuhusiana na rushwa, ccm na rushwa ni watoto mapacha nashangaa sana kuona mtu analalamikia swala la rushwa ndani ya ccm wakati unayo macho na masikio kila siku watu wanaimba na inahudhi kusikia mtu analalamikia rushwa ndani ya ccm baada ya kushindwa uchaguzi kama akina sumaye angeshinda wala asingepiga kelele huu ni uroho wa madaraka na si vinginevyo.
 
Hata msiba naye anataka kuongoza wana ccm, kaka kwa pesa uliyonayo huwezi shinda chaguzi za ccm labda jipendekeze sana kwa JK akupe ukuu wa wilaya kama watangazaji wenzako.
 
Baada ya kuangushwa uchaguzi ameamua kufunga. kasema anaye haribu ccm ni Lowasa, chenge, bashe na vedasto mathayo. Amewataka wang'atuke kwa manufaa ya ccm. Kama wasipo fanya hivyo basi Rais atumie mamraka aliyo nayo kuwawajibisha. Amewashutumu kununua wapiga kula kwa kuwapa rushwa. je atafanikiwa kumshawishi Rais achukue hatua?. Hatua hiyo imekuja baada ya rais kuwataka watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii kuwataja wanao jihusisha kutoa na kupoke rushwa.mia
Jamani huyu jamaa ni nani,kama ni cyprian msiba ninayemfahamu ambae miaka ya 90 nikiwa mtoto tuliishi nae jirani sana maeneo ya Buzuruga Mwanza,kwenye kona kabisa ya kuelekea mecco.Kama ni huyo basi ccm kuna vilaza.Jamaa thinking capacity yake ilikuwa below average,leo anagombea uenyekiti wa wilaya.Kweli waswahili walisema kuwa uyaone,nimeyaona.
 
Weka kando Ukiladha wa huyu Jamaa! Vipi aliyosema yanamantiki? Na kaujasili wa kajapo kutokufa kikondo, Je hao aliowataja wanafanya hicho alicho kisema huyo MATANGA/Msiba?
 
Aisee huyo Cyprian Musiba ni kilaza sana, sijapata kuona, siasa zake za kujipendekeza na hana upeo wa uongozi, ni wale makanjanja na wachumia tumbo.

kama kuna dada ameisuuza roho yangu wiki hii ni Ester Wassira yaani mpaka najilaumu kwa nini nimechelewa kumfahamu. siku nikisikia anagombea popote tanzania lazia niende kumpa tafuu yaaani yaaaani. Bunda imepata mwakilishi wengine siyo lazima tufanye siasa
 
Mbavu zangu kwii kwii kwi kwi kwiiiiiiii.
Kwani Nape, Mukama, Chiligati, na Malecela mbona wameimba sana huo wimbo mpaka umechuja, sasa Musiba ni nani vile hapa Tanzania???????

Oooooooooh, my Goooooooooooooooddddddddddddddddddddddddddd. Musiba fooooooolish
 
Jamani huyu jamaa ni nani,kama ni cyprian msiba ninayemfahamu ambae miaka ya 90 nikiwa mtoto tuliishi nae jirani sana maeneo ya Buzuruga Mwanza,kwenye kona kabisa ya kuelekea mecco.Kama ni huyo basi ccm kuna vilaza.Jamaa thinking capacity yake ilikuwa below average,leo anagombea uenyekiti wa wilaya.Kweli waswahili walisema kuwa uyaone,nimeyaona.

Nyie vipi bana mwenzenu anataka kutoka afu mnamwekea uthiku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom