Kumbe hata viongozi wa juu wa ccm wanajua kuwa kushika dola 2015 ni ndoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata viongozi wa juu wa ccm wanajua kuwa kushika dola 2015 ni ndoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lu-ma-ga, Oct 11, 2012.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Jana nilikutana na kada wa ccm kutoka kanda ya ziwa ni rafiki yangu sana, ni mmoja kati ya wanamtandao wa 2005 waliomuweka JK magogoni. Ni mtulivu anajua siasa za kati ni non biased figure, baada ya kuongea naye muda mrefu sana hiyo jana summary yake ya mazungumzo ilikuwa as follows;
  • Wanaamini kuwa hakuna mgombea wa ccm anayeweza kuchuana na CDM whether slaa, Mbowe au Zitto atakayegombea, wanaamini kwa sasa cdm iko mioyoni mwa wananchi hasa baada ya tafiti zao kutoa majibu hayo.
  • Lowasa anaonekana hajajisafisha nje ya ccm japo ndani ya ccm anaonekana msafi hataweza ku-compete na any candidate wa cdm among the big three guns.
  • Wanaamini kuwa kambi ya JK and BMW haitaweza kumvusha Membe kwani nepotism imekitia doa chama hasa kujaza watoto wao.
  • Kambi zote za ccm baada ya mchujo zitaibuka na uadui mkubwa na hivyo kuwa radhi kumaliza kwa WOTE TUKOSE na hivyo CDM watavuka by any candidate among the three.
  • Kumbe CCM wanamuogopa sana Dr.slaa, kwa misimamo yake ya kusimamia rasilimali na wao ccm wanaamini akiingia madarakani huenda wengi wakafirisiwa kutokana na ufisadi waliofanya.Kwa hiyo wanachokifanya ni kuhakikisha mgombea urais kutoka CDM anakuwa Mbowe au Zitto.Hili wanalisimamia kwa udi na uvumba kuhakikisha hao wawili wanatiwa hamasa ili wachuane na dr.slaa kura za maoni.Ndiyo maana zitto amelewa ahadi hii kwa kujua atamwangusha tu mbowe.Huku DR.SLAA akishughulikiwa na dola la ccm
  • Wanataka kuhakikisha mbowe na zitto hawapakwi matope na ccm ili waendelee kuwa wasafi wasio na siasa chafu za vurugu kama za dr.slaa kulingana na madai yao.
  • Wamejipanga kuhakikisha Dr.slaa anapakwa matope ya kuwa mpenda vurugu kwa kuwa tayari watanzania walishaaminishwa kuwa vyama vya upinzani ni vya vurugu.
  • Wako tayari kutoa reconciliation kati ya mbowe na zitto ili kambi zao zije ziungane na kuhakikisha mmoja anakuwa rais na mwingine PM kwa masharti ya ku-protect interest za mafisadi
  Mwisho amesema Dr.slaa ndiyo pekee anayeweza kuifikisha Tanzania CANAAN nchi ya maziwa na asali ila hofu yao pesa zao za ufisadi itakuwaje??? ndiyo maana wasema NO for Dr.slaa and YES for Mbowe and Zitto kabwe
   
 2. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  Na yale madai waliokua wanasema Zitto anatumiwa kuisambaratisha CDM yametoka wapi?
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa kiashiria kina mantiki.
   
 4. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakika yeye ndiye rais wa mioyo ya wazalendo wa Tanaganyika (Ni Dr W. Slaa)
   
 5. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ccm mnahangaika!
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  "one world order wakitaka dr. Slaa awe raisi hakuna cha zito wala mbowe watafurukuta"
   
 7. k

  keeeyaaa Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Sisi ndo kaanani tunaitaka tena kwa Nguvu sasa waache wahangaike kwani dr ndo chaguo la tz tangu 2010
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Zitto na Mbowe tayari wamesharambishwa hiyo tamaa ya magogoni, kwa kuahidiwa kwa masharti ya kuja ku-protect interest za majambazi.CDM wajiridhishe kupitia intelijensia ya chama kujua kama ni kweli Mbowe ana nia hiyo???? Na mzee Mtei should stand firm to ensure no biasness from him in making comments same as he did to ZZK the other day
   
 9. y

  yaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Lu-ma-ga, kwa kweli nakubaliana na analysis yako, japo sijui ni kwa nini wanadhani Mhe. Mbowe akibahatika kuwa rais hatakuwa tayari kuwafikisha walioifilisi Tz mahakamani?

  Nadhani yeyote atakayefanikiwa kushinda kiti cha urais kupitia CDM, hatokuwa na maamuzi ya peke yake.
  Hivyo ni vema kujirudi kuliko kutegemea hisani za Mhe. Mbowe au Zitto, japo kwa mhe. Zitto ni vigumu kupata nafasi ya kugombea kulingana na kizuizi cha umri kwa katiba ya sasa ya TZ.
   
 10. M

  Mr jokes and serious Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani kwakweli cdm isipo msimamisha dr slaa mimi mwenyewe binafsi cdm kura ya urahisi wameikosa huyu jamaa ameniinspere kwa kiasi kikubwa sana mpaka nika ipenda cdm,alafu nikaanza kumfwatilia kiukweli kunajaa mmoja alinipa stori za kwake karatu mana ni majirani huyu jamaa kiukweli ana tamaa zakijinga za maisha xa anasa,isitoshe watanzania kwakupenda vitu visivyo na manti tunaƶgoza ila dr slaa jembe jamani.
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]mimi sina mengi yakusema my picture state tahat
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  aisee...!!!
  Hii kufuru!
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwikwikkwik nihii itakuwa special gift kwa zomba na ccm wote 2015
  [​IMG]kwikwikwiwkiwkwikwiwkwiwkiwkwiwkwiwkiwkwi
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  I am out of here.
  Kwenye hilo boksi haingii mtu!
   
 16. p

  pembe JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Dr slaa mungu akulinde na akuweke hadi tukupigie kura ya uraisi 2015. Tuna imani utatutoa katika hili lindi la umaskini sisi walala hoi. Tumpe moyo..shime baba pambana nyota yako inangaa hata kwa ccm!
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  wana jf mkumbuke cdm imepata umaarufu ikiwa chini ya mbowe,msikubali kugombanishwa kirahisi!any body in cdm is president
   
 18. M

  MWANAKASULU Senior Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! R.I.P CCM and R.I.P MAGAMBA. Mafisadi yote yajiandae kupelekwa kwa Uholanzi mahakama ya Kimataifa kwa Okampo.
   
 19. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm kweli wamechanganyikiwa, cdm ni nooma!
   
 20. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pamoja sana mkuu,Dr Slaa ndiye alisababisha hata ndugu zangu wote kuchukua kadi ya CDM.hakuna kama Dr Slaa Tanzania.hii ni kichwa jamani......
   
Loading...