Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema mamlaka kamili ya Zanzibar yatapatikana kwa kila Mzanzibari kuhakikisha anaweka mbele mapenzi yake kwa nchi yake na kuweka...
Mara nyingi chama au kikundi chochote cha kijamii na hata timu za mpira huwa mashuhuri kutokana na mashujaa wake.
Tunapozungumzia "mashujaa" hapa tunamaanisha watu wanaokifanya chama au kikundi...
Ni kwamba tunaendelea na harakati na mikakati ya kukomboa kata mbili za Ipole na Kiloleli ndani ya jimbo/wilaya ya Sikonge - Tabora.
Haya yote ni kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani ndani...
Chadema mbona hatuwaoni uku wilaya ya Manyoni kwani vijana tuko tayari kwa ukombozi na tunahitaji m4c ije iamshe hari kwa baadhi ya watu ambao bado wamelala.
Uongozi wetu bado hauko sawa wapo...
Wakuu wote heshima mbele,
Kama tunavyojua miezi michache ijayo CHADEMA itaingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga. Ni muda muafaka tutafakari kwa pamoja na kumshauri...
hivi ndivyo pilika pilika za kisiasa za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya DARAJA MBILI Arusha hali ya mwitikio wa wananchi wa eneo hilo katika kuja kusikiliza sera za vyama hivi vitatu...
Ukweli husemwa:
Kwa miaka sita mfululizo, Mo Ibrahim foundation imekuwa ikifanya fahirisi katika nchi zote za Afrika katika maswala ya utawala ambapo mwaka huu imefanya utafiti katika nchi 52 za...
Katika hali ya kutaka kushindana na safari za Kikwete nje ya Nchi, sasa Chadema wao wamebuni njia mbadala za kutuma muwakirishi wao nje ya nchi kwa kupiga kambi huko na kutumia pesa nyingi za...
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Nyamagana wamevunja ukimya na kueleza kile kinachodaiwa ni mahusiano kati ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, na mwalimu...
"Tunawahakikishieni tutawakamata waliomuua Barlow!" duh!
Kama mna hakika kwa nini msiwakamate kwanza kisha ndio mtujuze? Kama mna uhakika, kwa nini mnakimbilia kutafuta msaada Interpol? Kauli...
Wakati makamanda wakuu wako huko kusini wakiendelea na ile ‘twanga kote kote' nasikiavyo hapa Dar makamanda wengine – Mabere Marando na Prof Safari le wametema cheche kali –...
huku askari wa miguu wamekwisha ivamia kagera toka walipomaliza kuiteka Arusha, kazi imebakia kwa majemedari prof lipumba na maalim seif kusimika bendera ya ukombozi kwa mkoa wa kagera na kuchukua...
Jamaa yangu alienda regency hopital kwa ajili ya check-up,alipofika maabara pamoja na kuwa na manung'uniko mengi ya kusubiri kupimwa( mfano damu kwa ajili ya maralia) KUSUBURI SAA MOJA NA NUSU...
Kama mtanzania ninaomba kuwasilisha maoni yangu kwenye mchakato wa kupata katiba mpya kama ifuatavyo.
1.Katiba mpya ianishe mipaka ya Tanzania na nchi jirani na siyo kuishia kuitangaza TANZANIA...
Ni aibu tena aibu ya mchana kweupe, watu wanaokataliwa na wananchi, ccm na serikali yake inawafanya mali tena adimu sana ndani ya jamii.
Deodatus Kamara-Balozi
Eng. Msekela
Mantumu mahiza-RC...
Je, sheria zetu za kupambana na rushwa haziwaruhusu PCCB kufanya haya ambayo Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Malawi (ACB) wamejaribu kuyafanya?
Bila hatua kama hizi ambazo zitasaidia kuweka...
Uraia wa Tanzania utamkwe pasina kuweka mashaka. Sina tatizo na aina zote za 'uraia' tulizonazo...ila ningependa ule wa kuandikishwa kigezo kimoja kiwe mwombaji awe na moja ya sifa kuwa...
Tuesday, October 16, 2012
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara huko Nungwi
Maalim Seif...
Maandamano ya kidini Tanzania
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 126 baada ya mashambulizi ya wiki jana dhidi ya makanisa mjini Dar es Salaam kwa mujibu wa kamanda wa polisi. Waisilamu...
Mwenyekiti wa Tume ya maoni ili kuweza kupata katiba mpya, amesema kuwa kwa wananchi wa Dar es salaam kutoa maoni yao ni katikati ya mwezi ujao. Pia amesema hawataweze kuwafikia kila mtu. Kwa...