Wanaokataliwa na Wananchi Wananafasi kubwa ndani ya CCM na Serikali yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaokataliwa na Wananchi Wananafasi kubwa ndani ya CCM na Serikali yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Oct 17, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ni aibu tena aibu ya mchana kweupe, watu wanaokataliwa na wananchi, ccm na serikali yake inawafanya mali tena adimu sana ndani ya jamii.

  Deodatus Kamara-Balozi
  Eng. Msekela
  Mantumu mahiza-RC
  Ludovick Mwananzilla-RC
  Antony Diallo-Mwenyekiti Mkoa
  Mghana Msindai Mwenyekiti Mkoa
  Lawrence Masha-Mjumbe NEC

  Na wengine wengi ambayo unaweza kuwaongeza kwa hiyo orodha.

  Je kama wananchi wanawakataa harafu wanakuwa mali kwa chama na serikali, wananchi watoe adhabu gani kwa chama na serikali yake?? Je rais ambaye ndo mwenye chama na serikali kwa pamoja, ni rafiki au ndege mwenye rangi moja na hao wanaokataliwa na wananchi? Je rais ni wa wananchi?? kwa ajili ya wananchi na serikali yao?

  Nawasilisha
   
Loading...