Sio moi tu,hata regency hospital nako ni vituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio moi tu,hata regency hospital nako ni vituko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OBWERE, Oct 17, 2012.

 1. O

  OBWERE Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamaa yangu alienda regency hopital kwa ajili ya check-up,alipofika maabara pamoja na kuwa na manung'uniko mengi ya kusubiri kupimwa( mfano damu kwa ajili ya maralia) KUSUBURI SAA MOJA NA NUSU KUINGIA KWA DR(VIPIMO) hili lilitokea pia.
  patient wawili walikuwa na majina yanayofanana ya MARCELINA(ubin nahifadhi ) kilichotokea ni, tag ya vipimo ya mmoja iliwekwa kwa mwingine ili hali matatizo yako tofauti.ilikuwaje,ni baada ya mmoja kwenda kupimwa akasema vipomo alivoandikiwa na dr sio hivyo wanavyotaka kumpima na ikabidi warudi kuchek wakakuta marcelina mwingine ashapimwa na kuondoka(naamin hakunotice utofauti) na angerudi kufata majibuu baada ya masaa 2.

  kwa tukio hili lilinifanya nikumbuke la mhimbili(MOI) la kufanya operation ya kichwa badala ya mguu.Ndugu zangu watanzania kwa hali hii inapotokea kwa hospital binfsi tena yenye hadhi kubwa ni aibu na fedheha.
   
Loading...