Tume ya Warioba: Mwisho mwezi ujao kutoa maoni ya Mabadiliko ya Katiba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya Warioba: Mwisho mwezi ujao kutoa maoni ya Mabadiliko ya Katiba.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kbm, Oct 17, 2012.

 1. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,963
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mwenyekiti wa Tume ya maoni ili kuweza kupata katiba mpya, amesema kuwa kwa wananchi wa Dar es salaam kutoa maoni yao ni katikati ya mwezi ujao. Pia amesema hawataweze kuwafikia kila mtu. Kwa maana hiyo, mimi na wewe tusipate nafasi ya kutoa maoni na dukuduku zetu ili kusaidia kuunda sheria zitakazo tuongoza kwa miaka ijayo. Natumaini wakati ni huu kuweka mikakati kuhakikisha kila mdau anatoa maoni yake, kama inawezekana naomba wanaJF tuwekewe kitufe cha kudumbukiza maoni yetu kiurahisi. Chakushangaza serikali iliweza kuwafikia raia wote watanzania wauchaguzi mkuu, pia wakati wa kuhesabu na zoezi la kuandikisha vitambulisho wote tulishirikishwa vizuri. Sasa inakuwaje jaji Warioba anatamka waziwazi kuwa hawatashirikisha wananchi wote, wakati huo anasema katiba hii ndiyo itumike katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015. Je hii ni sawa?
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Acha kulalamika, tumia muda huu unaoupoteza hapa JF kwenda kutoa maoni kama kweli una nia ya kufanya hivyo.
   
Loading...