Walianza mmoja mmoja na hatimaye sasa linaonekana kuwa jeshi kamili linalotishia kujitwalia dola!! Nasema hivyo kutokana na ukweli kuwa vuguvugu za waislamu sio kwamba zimekuja ghafla, bali ni...
Leo huko dodoma kuna kivumbi ndani ya UWT ..kina mama wawili wanachuana vikali huku kukiwa na vijembe na kushutumiama, kugawa pesa na vitu kama hivyo ambavyo vimezoeleka ndani ya ccm.
Ni kati ya...
Wana Jf, kutokubali kukosolewa ndiyo kinachopelekea yanayojiri kipindi hiki baada ya waumini wa kiislamu kuanzisha taasisi tofauti(UAMSHO na jumuiya ya kiislamu),taasisi hizi zimekuwa zikivunja...
KANUNI KUMI ZA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI (CCM)
1. Usiwe msaliti kwa NCHI yako. kuwa MZALENDO
2. Usiwe MVIVU wa kufikiri. Kuwa MDADISI.
3. Usiwe Mwoga, WOGA WAKO NDIYO...
Kipenga kimelia jimbo la Sumbawanga Mjini. Ni baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM,Hilary Aeshi. Kwa mujibu wa Sheria za...
Nikiangalia jazba na mihemko mitaani na hata jamvini kuhusu waislamu na wakristo na wanavyokamiana, najiuliza jazba, utayari, usongo, mnakasha na juhudi zinazoelekezwa kwenye kuvunja na kuchoma...
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos...
Kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kwa baadhi ya kata hapa nchini zimeanza kwa kishido huku baadhi ya vyama vya siasa zikiendelea na sera zao za maji taka badala ya kujikita zaidi katika...
Speaker of Zanzibar's House of Representatives, Mr Pandu Ameir Kificho temporarily cancelled Friday's morning session due to a boycott by Chama Cha Mapinduzi (CCM) backbenchers.
Zanzibar...
A delegation of private business people and bureaucrats from the Sultanate of Oman will visit the country soon to scout for investment opportunities. President Jakaya Kikwete prepares to lay...
Tusipoangalia vizuri tutashuhudia jambo ambalo halijawahi kutokea nchini tangu maasi ya jeshi 1964 na pengine pia tangu vita ya Kagera; kutangazwa kwa hali ya hatari (state of emergency) ili...
WANABODI JAMIIFORUMS
Hali ya Kisiasa Tanzania katika miezi 9 iliyopita inyaoishia September 30 mwaka 2012.
CHAMA TAWALA (CCM) CHAPOTEZA NGUVU
Chama tawala CCM yaani chama chenye serikali...
Kwa ule ubinafsi na dharau kwa viongozi wa taifa hili dhidi ya fikra za mwalim nyerere haya mafujo na vurugu za waislam ndio majibu na laana za baba wa taifa alizolaan kwa wale watakaoshindwa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Silima Pereira (kulia), akipeana mikono na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya hapa nchini, Filberto Ceriani Sebregondi, wakati wa mapumziko ya chai, kwenye ufunguzi wa...
Watanzania wavunja rekodi ya uzalendo Afrika
Imeandikwa na Na Joseph Lugendo | HabariLeo | Tarehe: 28th November 2009
TANZANIA imeweka rekodi ya aina yake barani Afrika kwa kuibuka nchi pekee...
Wanajamii forums nimefanikiwa kupata from my reliable sources within UDSM mazungumzo kati ya kiongozi mmoja mwandamizi katika ofisi ya VC na mhadhiri mmoja mwandamizi katika kitengo cha sayansi ya...
Hii kama nilivyoikuta UK Foreign office website. Ina maana huwa wanawachora tuu viongozi wetu wakiwa nje wakati hali ni tete nchini.
On 17 October civil disturbances occurred in the Stone Town...
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu. Zikiwa zimebakia takribani siku 9 kuelekea kwenye uchaguzi wa madiwani kata 29 nchi nzima, upepo siyo mzuri upande wa ccm. Leo hii ccm wamemnyang'anya kadi ya...