Fumbua macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fumbua macho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jeremiah Kipoya, Oct 20, 2012.

 1. J

  Jeremiah Kipoya New Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una maoni gani kwa baadhi ya vyama vya upinzani kutumiwa na chama tawala na kuwa kama vibaraka wao..?
   
 2. D

  Dr.Who Senior Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu JF

  Sidhani kama wanatumia, lakini kuna kitu kinaitwa corelation govnmnt, ambayo inaweza fanyika popote duniani
   
 3. T

  Top Cat Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtoto kapewa msahafu ili aukojolee na kugeuka nyoka naye bila ajizi katekeleza na hajageuka nyoka. Waislamu, mtafuteni yule mtoto wenu aliyetoa msahafu mumuulize ilikuwaje, la sivyo mnayofanya ni visingizio nyuma ya ajenda zenu za siri.
   
 4. D

  Dr.Who Senior Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Huyu kijana maisha yake yote atakuwa na ugonjwa wa akili unaoitwa Trauma, hawezi pona hivi karibuni-Achana na kitabu kitakatifu, kile sio maneno ya wakina Paulo !!
   
 5. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  Mzima wa afya,na kwa jina moja 2 lipitalo majina yote ataendelea kua mzima
   
Loading...