Uingereza yatoa tahadhari kwa wananchi wake Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uingereza yatoa tahadhari kwa wananchi wake Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Oct 19, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,350
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Hii kama nilivyoikuta UK Foreign office website. Ina maana huwa wanawachora tuu viongozi wetu wakiwa nje wakati hali ni tete nchini.

  On 17 October civil disturbances occurred in the Stone Town area of Zanzibar, and also downtown in Dar es Salaam. Protests may continue over the coming days/weeks, particularly after Friday mid-day prayers. You should exercise caution and avoid any demonstrations or large gatherings and political rallies; be alert to any developments which might trigger unrest. You can monitor our twitter account and the local media for information.

  Chanzo: Tanzania travel advice
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wenye kujali raia wao...
   
 3. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,443
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  na sisi tuangalie michuz blog
   
 4. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,711
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Jk bado yupo nje?
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,350
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nadhani sasa hichi kibwagizo cha "Nchi ya Amani na Utulivu..." kweshine.. safi sana
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,751
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Dawa ni kutunyima misaada ili serikali itie akili!
   
 8. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 999
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 80
  hakuna uongozi kuna majiwe wanashindwa kuwakamata vijana hao wadogo kama vipi wawatie risasi za mguu kila mmoja washenzi hao
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Jk yupo amempanda ngamia ktk kasri Oman
   
 10. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  ha ha ha ha! daahhh
   
 11. Niambieni

  Niambieni JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  [font=&quot]watanzania wenzangu, pendaneni, hacheni chuki, hasira, matusi, vita, uchochezi. Vyote hivyo havisaidii. Shetani anapenda sana mambo hayo mabaya yanayo mchukiza mungu. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]huu ni muda wako wa kuonekana kama wewe ni mtoto wa mungu au shetani. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]maneno yako, uchochezi wako, vurugu zako zina au zitasababisha vifo kwa pia watoto, wazee wanawake na wengine, uvunjivu wa amani, uharibifu.[/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]baadae mungu atakuangaliaje? Au unategemea utatubu na atakusamehe?. Je aliyekufa kwa maneno na vurugu zako atakuwa ana muda wa kukusamehe wakati ameshakufa?. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]kaa tafakari, je kweli unampenda mungu wako ambaye asili yake ni upendo?. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]au unampenda tena kwa vitendo shetani kwa kuua, chuki, hasira kwa mtu ambaye aliumbwa na mungu kwa mfano wake yeye mungu?[/font]
   
 12. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dawa itakayokuwa more effective kuliko zote ni nchi hizo zimpige marufuku Vasco da Gama kuzitembelea. Anaweza kudata.
   
 13. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hata akiwepo nchini hana cha maana cha kutueleza.akae huko huko.
   
 14. awp

  awp JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,716
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  muda si mrefu bendera itabadilishwa rangi na kuwekwa nye.............................u
   
 15. M

  MSAFIRI JAMES New Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inatisha
   
 16. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  NAMLAUMU SANA JK, KWA NINI ALIOMBA KAZI ILI HALI KUMBE UWEZO HANA, angalia alipotufikisha sasa.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sweet... Kwanini PIA wasisitishe MISAADA? Na PIA waanze kuangalia BANK ACCOUNTS za WATANZANIA NJE na NDANI Wanapata PESA WAPI? NO PAIN NO GAIN...

  Najua Sasa HIVI Tukiwa Safarini NJE; Na Passport ya BONGO sisi wenye MAJINA ya KINYUMBANI Tutasimamishwa HASWA kama vile 9/11; Tulipata Shida haswa kuingia US...


   
 18. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,552
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aiseee babaangu hawa wamarekani wanaweza tuma ndege yao kuja kuwasomba wamerikani wote kwa siku moja
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yeah; Na Kuifunga UBALOZI wao IMMEDIATELy... Hawana MCHEZO wakiufunga... MJOMBA wetu hata weza kupata VISA kwenda USA yeye na Watoto wake; Na Unajua TUTAKUWA KAMA SOMALIA..
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,298
  Likes Received: 2,316
  Trophy Points: 280
  ni USA na UK tu ndio wanajali raia wao au sielewi kitu?japan,france,scandinavia na nyingine za magharibi?
   
Loading...