Mpango wa kumtimua UDASA Dr. Kitila Mkumbo wasukwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango wa kumtimua UDASA Dr. Kitila Mkumbo wasukwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijana Msomali, Oct 18, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Wanajamii forums nimefanikiwa kupata from my reliable sources within UDSM mazungumzo kati ya kiongozi mmoja mwandamizi katika ofisi ya VC na mhadhiri mmoja mwandamizi katika kitengo cha sayansi ya siasa anaeusaka kwa udi na vumba uongozi wa juu ndani UDASA.

  Mazungumzo ya vigogo hao wawili pale Mlimani ulimhusu sana
  Kitila Mkumbo ambaye haitaji introduction kwa wanajamii forums na wafuatiliaji wa siasa za Tanzania.

  Na haya ni part ya mazungumzo yao in text format.

  MHADHIRI MWANDAMIZI: Chief, This Guy Kitila Anautumia Mwavula wa UDASA kwa mpango wake wa kujiimarisha kisiasa kuelekea 2015, his actions are UNACCEPTABLE Chief.

  KIONGOZI MWANDAMIZI: Unachokisema Dr.( Anataja Jina) ni facts, uongozi wa juu wa chuo unalifahamu hilo, wana UDASA wengi pia wanalifahamu pia, kwa hiyo we are monitoring his movements closely.

  MHANDIRI MWANDAMIZI: Na hili la yeye kutumia resources za chuo kama Nkurumah Hall uongozi wa chuo unalizungumziaje kwani kilichotokea Jumapili iliyopita Nyerer Day kimewasikitisha wengi.

  KIONGOZI MWANDAMIZI: Off course uongozi wa chuo uko standby na kama nilivyokwisha kuambia we are monitoring his movements, na tunajua ameweza kupata sponsorships na publicity kutoka ITV kwa kutumia UDASA.We know every thing DR.(Anataja Jina)

  MHADHIRI MWANDAMIZI: Hii inaniuma sana Professor (Anataja Jina) this Guy hawezi kutumia resources za chuo na za UDASA for his personal political ambitions, tunajua 2015 atagombea ubunge kupitia ( Anataja Jina La Chama) kwa hiyo anasafisha njia ya kujenga jina lake na ushawishi ndani ya Jamii, na in fact Professor this guy amefanikiwa so far, he is getting all the headlines at the expense of our resources. we need to do something Professor.

  KIONGOZI MWANDAMIZI: Dont worry DR(Anataja Jina) we are going to neutralize every thing sooner than you think, isitoshe muda wa uongozi uliopo wa UDASA unamaliza muda wake.Tuta hakikisha tuna lobby vya kutosha ili asipendekezwe kurudi kwenye nafasi yake ya sasa.

  Kitila Mkumbo

  Nina maswali makuu matatu kwako.

  1.Una taarifa zozote za mpango wa kuhakikisha haurudi kwenye nafasi yako ya sasa?

  2.Kama Ndio, Umejipanga vipi kuepukana na gharika hilo?

  3. Hili la wewe kutumia resources za chuo na UDASA kwa maslahi yako binafsi unalizungumziaje?
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyo VC mwenyewe anatumiwa na CCM, ni kada na ana kadi ya CCM. Au unataka tuweke photocopy humu. CCM wacheni kunyanyasa watu, Nyani haooni *******
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kitila is a guy we trust, hapo UDSM nadhani sasa nako kuna tatizo walimwondoa Nyaoro wakadhani hakuna new generation..kumpoteza Chachage (RIP) wakafanikiwa kule Bagamoyo; the same applied to Haroub Othman (RIP).. Je, wanahitaji kuweka viongozi wa aina gani? Kina BANA? Huyu hatopata hata kura 1 labda yakwake. Natumai kuna vijana wengi tu hapo mlimani ndani ya UDASA wenye kuendeleza kile ambacho Kitila amekifanya with Kibogoya.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Prof. Mkandara hausiki hapo?
   
 6. piper

  piper JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mambo ya kizamani coz hawaungi mkono nyinyiemu wanamwekea vikwazo
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni ngumu sana kupambana na ukuta, ama kukimbizana na kivuli chako mwenyewe. Hili wangefanikiwa kidogo kama wangetekeleza zamani. Kwasasa wataonekana nia yao chafu waziwazi, na itaongeza chuki kwa wale watetea haki dhidi ya wanaopendelea udhalimu uendelee.
   
 8. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,628
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280
  Tatizo tumezoea kusifiwasifiwa sana na pindi anapopatikana mtu anaeacha mjadala huru kwa wananchi anaonekana ni adui, mbona watoa mada walikuwa ni mchanganyiko pia hata audience ilikuwa na watu mbalimbali including NAPE labda kama TV yangu haikunionyesha vizuri
   
 9. r

  renedy New Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyinyiemu wana kaazi kweli hadi kufikia 2015
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  zitto atatoka mafichoni na kumsemea mkumbo because does the same for him!!!!
   
 11. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  I trust the profesors na wahadhiri wengine kuwa hawatomfanyia hiko wanachofikiri hao wavivu wa kufikiri.
  Dr.Kitila hata kama alivyosema juzi kuwa wao hawagombei bali majina hupendekezwa na wajumbe na mwenye sifa hupewa nafasi ya kuongoza kwa kuchaguliwa kwa kura.Naamini atapita tena kwa kishindo na watashangaa!Aliewaambia kuwa wao wanahaki miliki ya uongozi na rasilimali za UDSM nani?waache upuuzi wao wa kijinga msomi mkubwa anakuwa na majungu majungu then anataka aheshimike how?
   
 12. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Dr. Kitila kutoingia katika uongozi wa udasa huenda kusiwe kwa sababu za 'kisiasa', sasa hivi yeye ni sehemu ya utawala; si tuliambiwa kapewa cheo kule Chang'ombe, atawezaje kuwa mtawala kisha aongoze chombo cha wafanyakazi chenye sura ya trade union? Unless udasa haina tatizo na hilo.
  Vile vile pale UD wana sera ya academic freedom, mtu akiitumia vizuri ni vigumu kufungwa mdomo ndani ya maeneo ya chuo hususan matumizi ya kumbi za mihadhara. Au mi najua UD ya zamani?
   
 13. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mganga njaa dr. Bana nawasiwasi kama anahusika.
   
 14. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hakika hakosi maana ni swahiba sana na mkulu Mukandara.
  REDET si inaelekea kufa!!! So hana ujanja maana aliwekwa na Mukandara ili angalau apate kitu na anavyoona Kitila ansucced kwake inamuuma.. Huyu jamaa mhhhhhhh hana hata credibility ya kuitwa Dr. maana analysis zake zimejaa U-CCM tu.
   
 15. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  Waniachie mbunge wangu wa Iramba Magharibi na Wazira wa Elimu 2015
   
 16. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Karibu SAUT, busara zako zinahitajika sana
   
 17. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Dkt.Kitila, katika nafasi yake ya makamu mwenyekiti wa UDASA na wenzake kadhaa, wameweza kuendesha na kufanikisha mabadiliko ya kimsingi na muhimu kabisa ndani ya UDASA kama chombo cha Wanataaluma.Hatua hiyo imeweza kuirejesha,kwa kiasi kikubwa nafasi na heshima ya UDSM.Kinadharia na bila shaka kivitendo, UDASA inalo jukumu la kutoa uongozi katika maeneo ya migongano ya fikra na mawazo ambazo kwazo wanataluma wanaamini ni mwanzo wa fikra mpya na huru.
  Hatua yoyote ya kumwondoa Kitila ni hatua inayolenga kuirejesha UDASA kule ilipokuwa hapo awali:UDASA iliyolala,isiyofikiri wala kujadili na iliyojitenga na jamii.
  Nikumbushe jambo moja:mwaka 2010 ,watu wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere cha UDSM,chini ya Shivji, ''walishindwa'' kuandaa mhadhara wa Mwalimu.Katika kuokoa jahazi, UDASA,chini ya Kitila waliweza kuandaa mhadhara kwa mafanikio kabisa.
  Jumapili iliyopita, Kigoda kilikuwa Iringa bila jitihada za Kitila na UDASA wakazi wa Dar es Salaam na wanajumuiya ya UDSM wasngepata kutafakari maisha ya Kambarage!!Chuo Kikuu ni sehemu ya fikra huru.

   
 18. muhogomtamu

  muhogomtamu JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Weka kipande recorded ili tukuamini, maana inaonekana mazungumzo hayo yamerekodiwa, we need facts.
   
 19. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mwigulu Nchemba atakuwa behind kwa kutumia mgongo wa JK na CCM
   
 20. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Inawezekana. Dr Bana hamna kitu.
   
Loading...