Kamanda Mawazo azidi kuibomoa ngome CCM kata Dodoma ktk kampeini udiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Mawazo azidi kuibomoa ngome CCM kata Dodoma ktk kampeini udiwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Oct 19, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo Wakuu , heshima kwenu. Zikiwa zimebakia takribani siku 9 kuelekea kwenye uchaguzi wa madiwani kata 29 nchi nzima, upepo siyo mzuri upande wa ccm. Leo hii ccm wamemnyang'anya kadi ya uanachama mwenyekiti kitongoji cha Chisewo kata ya Msalato, Dodoma ndugu Charles Hoya baada ya kumkuta aki ipigia kampeini cdm pamoja na Kamanda Mawazo jana. Barua ya kumfukuza uanachama amekabidhiwa leo na yeye ameikabidhi leo hii kwa Kamanda Mawazo ikiwa ni pamoja na kujiunga rasmi kwenye jeshi la ukombozi. Huu ni mwanzo tu but time will tell. Naomba kuwasilisha.
   
 2. O

  Oremus Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amechagua fungu lililo jema -by oremus
   
 3. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hakika watu wameshachoka na ugumu wa maisha.safi sana mwenyekiti mzee Hoya
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Elimisha hao watu kamanda Mawazo
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Na bado.Keep on Kamanda
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Bomoa bomo.
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huyu amewahi muno kujionesha tunao wengi sana huko tumewaweka kwa kazi maalumu
   
Loading...