Aliyekuwa Mbunge wa Igunga Dr. Dalaly Peter Kafumu kwa tiketi ya "Magamba"(CCM) ambae alivuliwa Ubunge na Mahamaa Kuu Kanda ya Tabora mwezi Agosti, 2012, pichani juu kulia, "amefumuka" kwenye...
Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa...
SIKU chache mara baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani wa Kata ya Mpepai iliyopo wilayani Mbinga na Mletele wilayani Songea mkoani Ruvuma zikiwa zimeanza, wafuasi wa Chama Cha...
toka zaman enzi za chama kimoja umoja wa wanawake wa CCM wamekuwa wakiuuita umoja wao UWT sasa ni vyma vingi imefika mahali wauuite UWCCM Kama ilivyo UVCCM .INAUDHI mkiendelea kuita UWT
Ndugu wana Jukwaa, heshima kwenu wote.
Nimelazimika kuanzisha mada hii ili kujaribu kuwekana sawa katika vitu vidogo vidogo ambavyo tunakosea. Kwa muda sasa kumekuwa na chokochoke za mpakani kati...
Mtakubaliana nami kwamba wafanyakazi na wafanyabiashara wengine hapa Dar wanatokea mkoa wa pwani na kurudi kila siku kiasi kwamba imekuwa vigumu kutofautisha mikoa hii miwili.
Wakati mwingine...
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wale tuliowakabidhi jukumu la kulinda ama watu au Rasirimali zetu kuua Raia wasio na Hati, Askari wa wanyama Pori wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wamemuua kwa...
Khabari za uhakika nilizozipata sasa hivi ni kuwa Sheikh Fareed asharudi na yu mzima wa afya.
Nitazidi kukujuzeni
Ni kweli huyu hapa akiingia nyumbani kwake usiku huu.
Hapa ameingia ndani...
Mwenendo Kampeni za udiwani kata ya Lwenzera mkoani Geita jana zilichukua sura mpya baada ya kuwepo matukio yafuatayo:
a. Vijana wa usalama wa ccm(redbrigade) jana saa 9 mchana walimteka kijana...
Serikali imepiga marufuku mihadhara yote inayochochea vurugu za kidini na kutangaza kuwakamata wote wanaofadhili vikundi hivyo.
Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk...
Katika hali inayonishangaza watanzania ni watu wakalimu sana kwa watu wa mataifa mengine, mgeni anapokuja tanzania uwa anapewa heshima kubwa sana, tena wakati mwingine hata isiyostaili, tofauti...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya...
lazima muelewe hapa imetafutwa mbinu ili kupooza harakati za M4C.wanataka kutusahaulisha juu ya M4C.
wanataka kuwaambia wananchi kuwa amani ya nchi iko katika hatihati,kama mnabisha tutasikia...
NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, SIYO UKRISTO WANGU.
Mimi ni mkristo, niliyezaliwa Tanzania. Najivunia sana utanzania wangu kuliko ukristo wangu.
Naamini kuwa watoto na wajukuu wangu na vizazi...
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin...
WanaJF
Kwa namna upepo wa siasa unavyovuma ndani ya CCM, haina shaka tena EL ndiye atakuwa mgombea Urais kupitia CCM. Kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea, EL amefanikiwa kwa 95% kuweka timu...
Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni...