Malima Hana sifa ya kuwakosoa MSIGWA, SUGU, NA SILINDE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malima Hana sifa ya kuwakosoa MSIGWA, SUGU, NA SILINDE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamandamakini, Oct 17, 2012.

 1. k

  kamandamakini Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Malima Leo katika magazeti amesema ,Msigwa Sugu na Silinde hawana sifa za kuwa viongozi, huyu ni malima anayetembea na silaha za kivita,akiwa kwenye mahoteli na Malaya ,jimbo lake la mkuranga umasikini na ujinga Ndio kwao,huyu bwana anayebebwa na jina la baba yake anakipi cha kuwakosoa wa bunge wachadema wa nyandaz za juu kusini..........nawasilisha
   
 2. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuranga nijimbo ambalo watu wake wamelala usingizi wa hajabu,na katika maajabu 7 yanayo pigiwa kura na ili lingeongezwa likawa la 8.na mpaka waje kuamka bilashaka tutakuwa kwenye kalne ya 35.
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tumekusikia KAMANDA!!
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  vipi walisharudisha mapete yake?
   
 5. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nasikia yalikutwa kwa mama ndogo wake na yule naniiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 6. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Malima ni kivuli cha mtu, anatembea na begi tatu za nguo toka mkuranga kwenda Morogoro, huku akiwa na SMG na bastola mbili. Hivi ana akili zinamtosha huyu? Malaya kuliko boss wake, nchi hii ingekuwa China, Adamu malima ingekuwa historia
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,467
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Alimaanisha kuwa viongozi wa CCM........and he is right about this you know
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mkuranga kwenye alipita kwa mazingira ya rushwa akae kimya,yeye lipi jema alofanya zaidi ya kutembea na silaha!labda ajaribu mmojawapo kati ya hao watu akafanye mkutano wa hadhara jimbo kwake kama hajakimbia.
   
 9. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  Kweli mtu anayetembea na silaha za kivita kama mgambo wa Taliban hana sifa za kuwa kiongozi.Anavyodai CCM ilifanya makosa Iringa mjini alitaka mtu aliyekamatwa na TAKUKURU kwa rushwa (Mwakalebela) ndiye agombee?Namuonya asirudie kumkejeli SUGU hata siku moja,MBEYA NI NCHI SUGU NI RAIS,hata Kandoro anajua!
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Some times waache wabunge wajibu wenyewe especially kama kuna facts kama unavyo zitoa wakishindwa waombe msaada au ni dhaifu kiasi cha kulindwa na kusaidiwa muda wote?
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Malima ni mzinzi aliibiwa na changudoa hotelini morogoro.Aibu sana kwa nchi za wenzetu alitakiwa awe amepigwa chini.
   
 12. ABEDNEGO CHARLES

  ABEDNEGO CHARLES JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Katika siasa watu hufanya kazi moja kubwa, nayo ni kujijengea uhalali wa uwepo wao na uharamu wa uwepo wa maadui zao. Shafi Adam Shafi
   
 13. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  haya majamaa ya ajabu kweli
   
 14. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...hawa ni wabunge wa watu hivyo ukiwagusa hao wabunge wetu kwa vyovyote vile umetugusa...
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu kamandamakini Iringa hawajambo? Mguu ulipona? Piga kazi kaka 2015 haipo mbali Jesca ndo huyooooooo anakuja kwa kasi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  huyu ni mtoto wa kighoma Malima yule aliyekutwa na mamilioni ya hela/pesa enzi hizo ni waziri wa fedha??!!
   
 17. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Huyu Malima alitakiwa kufukuzwa kazi kwa kosa la kuchukua Malaya na huku anadhamana kubwa Serikalini. Na alimwaibisha sana Mke wake.
   
 18. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtu kama Malima anaweza kuwaaminisha kuwa mtu yeyote anaweza kuwa mbunge na pia waziri.MTU YEYOTE.
   
Loading...