Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Ulimboka kuwataja wote waliyomteka na kumfanyia ukatili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Oct 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wana JF.
  Kuanzia sasa ndani ya masaa 24 Dr Ulimboka kuwataja wale wote waliyomfanyia vitendo vya unyama na utekaji tusibiri Dr Ulimboka atasema nini.


  SOURCE; MLIMANI TV.
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,932
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  ...tired..
   
 3. M

  MKUU WA KAYA Senior Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mauza uza tupu
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,263
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Here we go again...
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mods,
  Hii habari ni ya kweli msiitoe.
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,837
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Bilioni tano alizopewa zimeisha?
   
 7. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 965
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Kwanini asiwataje na badala yake anatumia muda mwingi kutishia? kama anataka kuwataja its better akiwataja coz tumesubiri kiasi amepoteza attention yetu.
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  jf hate preacher .... hirizi moja
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yule kashanyamanzishwa tokea alipokuwa kwenye matibabu South Africa, poleni sana wanaharakati ambao mliongea mpaka mapovu yakawatoka midomoni na poleni sana madaktari mlioimba eti solidality forever mapaka mkamaliza nguvu kusukuma gari ya huyu mnafiki
   
 10. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri
   
 11. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hela alizochukua zimeisha nini?siku zote hizo alikua wapi,kweli ulimbo ulimnasa ulimboka
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ngoja tusubiri tusikie maneno yake na tulinganishe na yale ya gazati la Mwanahalisi tujue ukweli ni upi.
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,169
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Awataje tu awasahaulishe watu sinema ya kifo cha RPC Barlow,
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,482
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Late night movie????? Tunasubiri
   
 15. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,953
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Huyu ndugu wa MABWE PANDE mimi sina imani naye tena, inaoneka kaisha wekwa sawa. Shida yake kubwa ilikuwa kutafuta haki yake, bilashaka kaisha kamilishiwa mahitaji yake na SIRIKALI. Madaktari mlio bakia nanyi kaanze kutafuta haki zenu, tena huyu jamaa muondoe kwenye jumuiya yenu.
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,956
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hatumuamini tena................. ataje asiwataje haitatusaidia kitu anataka kuzima story za Baro? waendelee tu kumtumia kwa shida zake + njaa
   
 17. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,558
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Keshamalizana na Dhaifu huyo,hapa ameomba asambaratisha attention ya sintofaham ya kifo cha Barlow.
   
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,951
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Mchuzi wa bata,

  ..Dr.Mwakyembe aliitisha mkutano wa waandishi wa habari akasema, "mjadala kuhusu afya yangu umefungwa."

  ..sasa nahisi Dr.Ulimboka naye atasema hivi, "mjadala kuhusu kutekwa kwangu umefungwa."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 18,194
  Likes Received: 15,586
  Trophy Points: 280
  Asije akawa kama Sumaye anaita waandishi wa habari alafu anakuwa hana la maana la kuwaambia.Akiita waandishi aweke kila kitu hadharani na asije na hoja nyepesi kama za Sumaye.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 31,151
  Likes Received: 5,432
  Trophy Points: 280
  Hiyo CD haiuzi tena. wrong timing.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...