Wagombea wa uenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River, Arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea wa uenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River, Arumeru mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Puppy, Oct 17, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  HAWA NDIO WAGOMBEA WA UENYEVITI WA VITONGOJI KATA YA USA-RIVER, ARUMERU MASHARIKI KWA TIKETI YA CHADEMA.  Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu na muhabarishaji wangu. mgombea mmoja picha yake haikupatikana lakini
  jina lake ni SANTRUMINI PHILLIPO KIMARIO na anagombea kitongoji cha mlimasioni.
   

  Attached Files:

 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Malisa namfahamu huyu jamaa kazi anaiweza....
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  Ni komandoo siku mingi sana tokea enzi za kina lyatonga Mrema, enzi za vita ya wameru mpaka leo.
  kazi anaiweza. hapo pia kuna mjukuu wa Seth Benjamin
   
 4. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  huyu Mzee kaona TLP hailipi eeh?
   
Loading...