Rais wa Zanzibar amwachisha kazi Mh Mansoor Yussuf Himid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Zanzibar amwachisha kazi Mh Mansoor Yussuf Himid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Oct 17, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1][​IMG][/h] Rais wa zanzibar Dr.Ali Mohammed Shein

  Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amemwachisha kazi Waziri asiyekuwa na wizara maalum Mansoor Yussuf Himid na kumteua Bi Shawana Buheti Hassan kuchukua wadhifa huo.
  Hatua hiyo hata hivyo imekuja wakati ambapo Zanzibar ipo katika harakati za kutaka mabadiliko ya mfumo wa Muungano na Bwana Mansoor amekuwa mstari wa mbele katika mchakato huo wa kutetea mageuzi. Hatua hiyo ya rais imezusha hisia mbali mbali miongoni mwa wananchi wa visiwa hivyo ya Zanzibar. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof. Abdul Shariff, na kwanza alimuuliza je hatua hiyo iliyochukuliwa na rais inatoa sura gani.
  Mwandishi: Bruce Amani
  Mhariri: Saumu Yusuf


  [h=4][/h][h=2]Sikiliza mazungumzo kati ya Bruce Amani na Prof. Abdul Shariff
  Bonyeza sauti
  AUDIO | DW.DE[/h]Chanzo Idhaa ya Ugermani Dw.
   
Loading...