Shamsi vuai Nahodha na Msimamo wake Juu ya Muungano

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
baada ya kusoma maoni ya waziri kiongozi mstaafu wa SMZ na waziri ktk serikali ya muungano kwa sasa ndugu shamsi vuai nahodha akichangia kwenye ukusanywaji wa maoni kwa ajili ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano kwenye ukumbi wa wakilishi huko zanzibar.

amesema yy anataka muundo uendelee hivi hivi, ila mabunge yawe matatu. kuwe na bunge la Tanganyika na zanzibar na pawepo na bunge dogo la Muungano. kutokana na mawazo haya ya Mh shamsi, hii si sawa na kuwa na serikali tatu au ule wa mkataba? jee hili bunge la muungano litawajibika kwa serikali ipi ikiwa zitakuwa mbili ? na hili la sasa litakua la Tanganyika tuseme, jee litasimamiwa na serikali ipi ?

kwa kweli nimeshindwa kumuelewa Mh wetu, hebu tutafakari kwa pamoja juu ya mchango wake huu, na nnaomba kuelekezwa ili nimwelewe japo mkuu wa tume warioba hakumuuliza maswali ya kutosha ili aeleze vyema huu muundo wake na utendaje wake kazi
 
hivi ndivyo alivyonukuliwa kwenye gazeti la ippmedia :: IPPMEDIA

Defence and National Service Minister, Shamsi Vuai Nahodha, was of the opinion that the best format of governance is a two-government format which he said would strengthen unity.
He called for a two-parliament system, and a smaller one to look into Union matters, advising also that the presidency be held in turns, for the duration of ten years each.
Nahodha said after the 1964 Union, Zanzibar lost its power to undertake international relations and economic cooperation, so it was high time these matters were studied and looked at and solutions found.
 
Anaposema urais uwe wa kupokezana kati ya bara na visiwani,,anataka kusema ccm ndo atakuwa mtawala daima?what if urais utachukuliwa na upinzani kama chadema (as i clearly see to be 2015)
 
Hajui alisemalo huyo Nahodha wa kuropoka mana sisi znz tunamwita Msomi wa Shamba
 
Back
Top Bottom